Masikini wana chuki na mimi kwakuwa wamezeeka hawana pesa

Juice world

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2022
Posts
1,982
Reaction score
2,706
Kila nikiangalia nyuzi zinazoniongelea Mimi tajiri wa hii dunia ni za masikini ambao nawaambia ukweli kwamba waache kuwa malofa watafute hela wanafikiri kwamba nitaacha kusema huu ukweli.

Nyie masikini, mimi nipo sana humu tafuteni hela acheni kuwa malofa kuniandalia vi nyuzi vyenu kisa mnanjaa mnataka Mimi ndio nihudumie wake zenu masikini ni takataka na hapo ni bado hamjasema mafukara nyie tafuteni hela masikini nyie
 
Wanakukosea sana kukulazimisha uhudumie wale zao 😁
 
Tumekusikia tajiri.....tutaacha kukusema tajiri.....si unajua tena njaa zimeshahamia kichwani badala ya kubakia tumboni......tusamehe sana tajiri tumekosa Sisi......🙏🙏🙏🙏
 
Masikini wamefikia hatua wanasema eti huna vidole vya miguu.
 
Hakuna tajiri mwenye muda wa kupoteza. Wewe itakuwa umewekwa ndani na jimama linakuhudumia😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…