Masikini wana chuki na mimi kwakuwa wamezeeka hawana pesa

Huyu ni tajiri wa wapi wakuu mbona hatumuoni ata FORBES..hata TOP 100 ya MATAJIRI hapa BONGO hayupo msaada tafadhali au mmetumia CODE?
 
Huyu ni tajiri wa wapi wakuu mbona hatumuoni ata FORBES..hata TOP 100 ya MATAJIRI hapa BONGO hayupo msaada tafadhali au mmetumia CODE?
Tafuta hela masikini wewe
 
Hayo maneno kayasema nani?. Mbona ni maneno ya dharau sana.
 
Nna wasiwasi wewe sio mwenyewe jina hilo.
Tajiri unapata wapi muda wa kutoa mipasho humu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…