Trubarg
JF-Expert Member
- Jan 8, 2020
- 4,388
- 7,223
Sidhani kama kuna mtu anabisha, let's look on this example; Masikini coz hana hela itambidi badala ya kununua mchele kwa bei ya jumla ya sh. 2,100 itampasa anunue kwa rejareja kwa sh. 2,500.
Badala ya kununua gesi mtungi wa kilo 15 kwa 56,000 italazimu anunue mtungi wa gesi wa kilo 5 kwa sh.22,000.
Mfano mwingine: Kwa kuwa masikini Hana uwezo wa kununua gesi anaamua kununua mkaa, atajikuta anatumia mkaa wa 2000-3000 kwa siku, ukiweka kwa mwezi ni 60k, ukiweka na thamani ya muda inaweza fika 80k badala ya 56k
Leta mifano mingine.