Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Economics ya A level....hili somo nilitoka na A lakini ukweli ni kwamba nilikrem tuu.marginal propensity to consume
Na mabenk yanastawi kwa kuwafilisi watumishi ambao hawana namna ya Kupata pesa nyingi za kujenga, kununua gari, kusoma nje ya mkopo.Ndo gharama nazoziongelea hapa...mwalimu akikopa 1m anarudisha 3m, wakati Bakhresa kwa rate ya 1m anarudisha 10k.
Nazijua...angalia percentage wise kwenye kipato chake au angalia gharama anazoingia ukilinganisha na masikini
Basic naweza nunua mchele wa 700k nikaweka ndani Na baada ya miezi mitatu nanunua tena!!! Masikini anaweza kaka???Twende kwenye basics achana na luxuries.
Hapana matajiri wanatumia sana pesa kuliko masikini!!! Ndio maana nikakuuliza kaka wewe ni tajiri au masikini??Mimi masikini...kutumia 200k kwako inaweza kuwa ni sehemu ndogo sana kwenye kipato chako...ukitaka huduma unaweza zipata kwa bei rahisi kuliko masikini
Akipanda daladala kwa siku 700 go and return 700=1400 kwasiku ..Endelea ..
Badala ya kupanda daladala 600 anannuua mafuta lita kwa bei gani.?
Kihalisia ukiambiwa uthibitishe hizo risk ni vigumu sana, ni kama kuthibitisha madhara yaliyosababishwa na mionzi ya minara ya simu (tuliaminishwa kuwa minara kuwa karibu na makazi inaleta mionzi yenye madhara makubwa sana).Umetumia gharama ndogo kula kwa Mamalishe lakini risks zake zitaweza kukugharimu pakubwa!
Hizo gharama ndo nazozizungumziaKwa hiyo unataka kusema maskini anayekula kwa Mamalishe mfano ugali Mbogamboga Kwa buku ana nafuu sana kuliko tajiri anayekula ugali huo huo kwa shilingi 5,000 -10,000 kwenye hotel/restaurant ?
Je hapo nimekuelewa?
Sasa kama ndivyo nikuulize;
Je unafahamu risks (hatari) zinazoambatana na maskini kwenda kula kwa Mamalishe?
Uchafu huleta magonjwa na kutibiwa ni hela hapo gharama .
Kwa Mamalishe mazingira huwa sio rasmi, maji haba, ufahamu wa mambo ya hygien related issues hawajui na hawako tayari kujua wabishi !
Ushirikina Je ?
Uwezekano ni mkubwa wa kununua inferior products sababu ya Mtaji wao kuwa Mdogo Kwa kudunduliza.
Utakuta mafuta wananunua yale ya ubora wa chini kabisa. Sasa kwa mlaji hiyo ni hatari kubwa sana kiafya.
Umetumia gharama ndogo kula kwa Mamalishe lakini risks zake zitaweza kukugharimu pakubwa!
Buyer beware
Miririny na somanga😂😂Wapi uko kwenye bei ya 2100 mchele?
Unaongelea miasaba gharama ya kupanda, Kuna suala la muda na disturbances..ukizidhamimisha unafika 10kAkipanda daladala kwa siku 700 go and return 700=1400 kwasiku ..
Chukua 1400x7wiki=9800..
Halafu chukua 9800x4mwezi=117600..
Halafu chukua 117600x15miaka aliyokaa mjini akipanda daladala kila siku
😂😂😂😂😂
Sawa bhana😂😂mwamedi nasikia huwa analala kuanzia saa 5 usiku wakati masikini saa1 nipo kwenye netiUnaongelea miasaba gharama ya kupanda, Kuna suala la muda na disturbances..ukizidhamimisha unafika 10k
Aaah basi kumbe wewe masikini kaka!!!Basi usitusemee matajiri matumizi yetu kaka huyajui🤣🤣🤣Mimi masikini...
Acha utani jamaa Bei ya jumla kwasasa Ni 3k ukinunua wa 2800 watoto hawashibi kabisaBei ya jumla mkuu
Hakuna bank inayotoa mkopo kwa 1%Ndo gharama nazoziongelea hapa...mwalimu akikopa 1m anarudisha 3m, wakati Bakhresa kwa rate ya 1m anarudisha 10k.