Mufti kuku The Infinity
JF-Expert Member
- Sep 21, 2019
- 6,053
- 10,032
Umenikumbusha enzi hizo napiga zangu uchumi form 6 huko kijijini koromije 🤣Marginal propensity to consume
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umenikumbusha enzi hizo napiga zangu uchumi form 6 huko kijijini koromije 🤣Marginal propensity to consume
Bila namba au tukio specific inabaki kuwa ni dhahania. Yaani zinabaki kuwa ni hisia tuMmnh!
Inaonekana hujapata kujifunza na kufahamu kwa mapana yake kuhusu “ risks “
Iko wazi kabisa kitaalam kuwa “ Risks must be calculated “
Kutegemeana na nature ya tasnia.
Mfano kwenye biashara kuna risks za aina yake kati ya biashara moja na nyingine,
N.k.
Mimi nimekujibu vizuri tu dada kuwa maskini aliezungumziwa kwenye mada ni dizaini kama ya baba watoto wako sasa hapo kosa langu ni lipi dada yangu?Itakuwa basha wako sio kwa shobo izo,,,, yani mwenyewe amenijibu vizuri tu we unaanza matusi, ila machoko ndo mlivyo shobo mnaziweza kuwashinda hata wanawake
eti huyu nae yupo jamiiforum,, I'd fake zisikufanye ukakosa adabu mi basha wakoMimi nimekujibu vizuri tu dada kuwa maskini aliezungumziwa kwenye mada ni dizaini kama ya baba watoto wako sasa hapo kosa langu ni lipi dada yangu?
Naona umeingia naopataka...huo mchele wanl laki saba utanunua kwa jumla kwa 2500, masikini mchele huo hawezi nunua wa laki saba kwa bei hiyo ,,badala yake atanunua kilonmoja kwa 3000 au 3200, hapo Nani ameingia gharama Zaidi?Basic naweza nunua mchele wa 700k nikaweka ndani Na baada ya miezi mitatu nanunua tena!!! Masikini anaweza kaka???
Umekazania unga tu vipi mchele,masikini anakula mchele wa 1500Masikini unga ananunua nusu 1500 wakati tajiri unga nusu ananunua kwa 1100
Haahaha..! Utakua ule wa vitumbua au yupo KyelaWapi uko kwenye bei ya 2100 mchele?
Tangu lini mwanamke akawa basha kama unavyojiita hapa?eti huyu nae yupo jamiiforum,, I'd fake zisikufanye ukakosa adabu mi basha wako
Kinyeo kinakuwasha ndo mana uishi kufuatlia wanaume choko weweTangu lini mwanamke akawa basha kama unavyojiita hapa?
Watoto wa matajiri wanakofundishwa ushoga na usagaji! Zote hizo ni gharama!Acha uongo wewe, unamuongelea huyu masikini anaemsomesha mwanawe shule ya msingi mpiga miti wakati tajiri ye wake anasoma international school of Tanganyika, au masikini gani unamuongelea?
Aagh wapi, kodi ya nyumba masaki ni hadi milioni 4 kwa mwezi, hapo unapangisha vyumba vyote vingunguti na chenji inabakiSidhani kama kuna mtu anabisha, let's look on this example; Masikini coz hana hela itambidi badala ya kununua mchele kwa bei ya jumla ya sh. 2,100 itampasa anunue kwa rejareja kwa sh. 2,500.
Badala ya kununua gesi mtungi wa kilo 15 kwa 56,000 italazimu anunue mtungi wa gesi wa kilo 5 kwa sh.22,000.
Mfano mwingine: Kwa kuwa masikini Hana uwezo wa kununua gesi anaamua kununua mkaa, atajikuta anatumia mkaa wa 2000-3000 kwa siku, ukiweka kwa mwezi ni 60k, ukiweka na thamani ya muda inaweza fika 80k badala ya 56k
Leta mifano mingine.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapo sasaPole kwao. Jf wote ni matajiri na wana ukwasi wa kutosha