😁😁😁 huyu jamaa muongo sanaNa mabenk yanastawi kwa kuwafilisi watumishi ambao hawana namna ya Kupata pesa nyingi za kujenga, kununua gari, kusoma nje ya mkopo.
Tena wa miaka 8 ni gharama sana.
Unakopa milioni 20 unarejesha milioni 18
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😁😁😁 huyu jamaa muongo sanaNa mabenk yanastawi kwa kuwafilisi watumishi ambao hawana namna ya Kupata pesa nyingi za kujenga, kununua gari, kusoma nje ya mkopo.
Tena wa miaka 8 ni gharama sana.
Unakopa milioni 20 unarejesha milioni 18
Maginal propensity to consumeSidhani kama kuna mtu anabisha, let's look on this example; Masikini coz hana hela itambidi badala ya kununua mchele kwa bei ya jumla ya sh. 2,100 itampasa anunue kwa rejareja kwa sh. 2,500.
Badala ya kununua gesi mtungi wa kilo 15 kwa 56,000 italazimu anunue mtungi wa gesi wa kilo 5 kwa sh.22,000.
Mfano mwingine: Kwa kuwa masikini Hana uwezo wa kununua gesi anaamua kununua mkaa, atajikuta anatumia mkaa wa 2000-3000 kwa siku, ukiweka kwa mwezi ni 60k, ukiweka na thamani ya muda inaweza fika 80k badala ya 56k
Leta mifano mingine.
Cha kuangalia ni gharama, je gharama za maisha kwao wote ziko sawa, bila ya kujali kipato chao?Maisha ya mwalimu wa mshahara wa laki 4 ni expensive kuliko maisha ya said Bakhresa sababu mwalimu anatumia much of his income mf 90% ya income kwa kula while said anatumia 0.001 ya income kwa kula
Tyongelee gharama za maisha bila ya kujali kipato. Nani maisha yake yana unafuu?Mkuu, poor and middle class used their after taxed hard earned money kuishi maisha while rich people use untaxed money kuishi maisha and get taxed what's left of it. And that's a very big difference.
Muulize mwenye duka kama ananunua mchele kwa bei anayokuuzia wewe mteja wake, utajua kuwa unaweza kupata mchele kwa bei ya chini.Wapi uko kwenye bei ya 2100 mchele?
Matumizi yako ya laki 2 kwa siku, ni kwa mahitaji ya msingi kama alivyoainisha mleta uzi? Yaani chakula nyumbani, usafiri n.k.Hapana kaka sikupingi nimekuuliza una experience kama tajiri au masikini!!! Maana mimi ni tajiri nataka nikupe experience yangu kwa siku naweza tumia hata 200k!!! Ndio maana nikakuuliza wewe ni tajiri au masikini
Nasafirisha sana nafaka hakuna bei ya 2100 mchele kwa sasa labda kama unaongelea chenga za kupikia vitumbua ,mkate wa kumimina pamoja na vibibi!!Muulize mwenye duka kama ananunua mchele kwa bei anayokuuzia wewe mteja wake, utajua kuwa unaweza kupata mchele kwa bei ya chini.
Tyongelee gharama za maisha bila ya kujali kipato. Nani maisha yake yana unafuu?