Endelea..Sidhani kama Kuna mtu anabisha..let's look on this example;
Masikini coz hana hela itambidi badala ya kununua mchele kwa bei ya jumla ya sh. 2,100 itampasa anunue kwa rejareja kwa sh. 2,500. Badala ya kununua gesi mtungi wa kila 15 kwa 56,000 italazimu anunue mtungi wa gesi wa kilo 5kwa sh.22,000. Leta mifano mingine
Mkuu, poor and middle class used their after taxed hard earned money kuishi maisha while rich people use untaxed money kuishi maisha and get taxed what's left of it. And that's a very big difference.Sidhani kama Kuna mtu anabisha..let's look on this example;
Masikini coz hana hela itambidi badala ya kununua mchele kwa bei ya jumla ya sh. 2,100 itampasa anunue kwa rejareja kwa sh. 2,500. Badala ya kununua gesi mtungi wa kila 15 kwa 56,000 italazimu anunue mtungi wa gesi wa kilo 5kwa sh.22,000. Leta mifano mingine
Acha kutupiga changa wapi wanauza hio bei wewe tajiri?Gesi mtungi wa kilo 15 kwa 56,000
Imepanda sasa ni 750Badala ya kupanda daladala 600
Huna point mkuu, kitu pekee chenye thamani ya ghali duniani ni muda na sio rafiki wa mwanadamuLeta mifano mingine
Nifafanue tena!Fafanua
Ni kwa vile maisha yetu ni ya kuungaunga..Sidhani kama Kuna mtu anabisha..let's look on this example; Masikini coz hana hela itambidi badala ya kununua mchele kwa bei ya jumla ya sh. 2,100 itampasa anunue kwa rejareja kwa sh. 2,500...
Maskini anaemzungumzia ni mumeo weweAcha uongo wewe,,,, unamuongelea huyu masikini anaemsomesha mwanawe shule ya msingi mpiga miti wakati tajiri ye wake anasoma international school of Tanganyika, au masikini gani unamuongelea?
Badala ya kuEndelea ..
Badala ya kupanda daladala 600 anannuua mafuta lita kwa bei gani.?
Mkuu zingatia gharama atakazoingia huyo mtoto na familia kutoboa maishaAcha uongo wewe,,,, unamuongelea huyu masikini anaemsomesha mwanawe shule ya msingi mpiga miti wakati tajiri ye wake anasoma international school of Tanganyika, au masikini gani unamuongelea?
Nashukuru kwa kunielewa...mwalimu akikopa anawekewa riba ya 35% wakati Bakhresa anapaswa mkopo wa riba ya .2% tena kwa kubembelezwaMaisha ya mwalimu wa mshara wa laki 4 ni expensive kuliko maisha ya said bakhresa sababu mwalimu anatumia much of his income mf 90% ya income kwa kula while said anatumia 0.001 ya income kwa kula