Masikini wanaishi maisha ghali kuliko matajiri

Na mabenk yanastawi kwa kuwafilisi watumishi ambao hawana namna ya Kupata pesa nyingi za kujenga, kununua gari, kusoma nje ya mkopo.
Tena wa miaka 8 ni gharama sana.
Unakopa milioni 20 unarejesha milioni 18
😁😁😁 huyu jamaa muongo sana
 
Maginal propensity to consume
 
Maisha ya mwalimu wa mshahara wa laki 4 ni expensive kuliko maisha ya said Bakhresa sababu mwalimu anatumia much of his income mf 90% ya income kwa kula while said anatumia 0.001 ya income kwa kula
Cha kuangalia ni gharama, je gharama za maisha kwao wote ziko sawa, bila ya kujali kipato chao?
 
Mkuu, poor and middle class used their after taxed hard earned money kuishi maisha while rich people use untaxed money kuishi maisha and get taxed what's left of it. And that's a very big difference.
Tyongelee gharama za maisha bila ya kujali kipato. Nani maisha yake yana unafuu?
 
Wapi uko kwenye bei ya 2100 mchele?
Muulize mwenye duka kama ananunua mchele kwa bei anayokuuzia wewe mteja wake, utajua kuwa unaweza kupata mchele kwa bei ya chini.
 
Hapana kaka sikupingi nimekuuliza una experience kama tajiri au masikini!!! Maana mimi ni tajiri nataka nikupe experience yangu kwa siku naweza tumia hata 200k!!! Ndio maana nikakuuliza wewe ni tajiri au masikini
Matumizi yako ya laki 2 kwa siku, ni kwa mahitaji ya msingi kama alivyoainisha mleta uzi? Yaani chakula nyumbani, usafiri n.k.
 
Muulize mwenye duka kama ananunua mchele kwa bei anayokuuzia wewe mteja wake, utajua kuwa unaweza kupata mchele kwa bei ya chini.
Nasafirisha sana nafaka hakuna bei ya 2100 mchele kwa sasa labda kama unaongelea chenga za kupikia vitumbua ,mkate wa kumimina pamoja na vibibi!!
 
Mimi natoa shukurani kwa uber na bolt bila hivyo ilikuwa balaa
 
Huu uzi ni mkubwa sana, ila hapa utakuwa ignored na wajuaji. ila kila kitu kinategemea na mazingira hasa katika basic. mfano nyumba (sehemu ya kuishi), usafiri, gharama za chakula na namna ilivyorahisika kupata kipato. uyu anapata 1000k na mwingine 10k. tukiangalia percent kwenye matumizi, yaani wa kwanza anabaki na 600k kwa 2k. posible ikawa ivi ila sio lazima iwe hivi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…