Masikini wasipewe vibali kujenga mjini. Huchafua miji na vijumba vyao

MUNGU AMEKUSIKIA. ATAJIBU KWA VITENDO.
 
Jijin mwanza huko miliman na sehem zingne kumejaa vinyumba vya tofali za block tuna chumba kimoja na sebule,hutu tunyumba huwa tunaniboa sipendag hata kutuona
 
Matajiri hubadilika kila siku mfano vile vijumba vichafu chafu pale Moshi mjini katikati enzi hizo ndio waliokuwa wanaonekana matajiri wa moshi Sasa hivi wako wapya wapya na wao mbeleni huko vijumba vyao vitaonekana takataka

Kinachotakiwa matajiri wapya waanzishe mini yao mipya wa kila zama au wawanunue hao wa zamani Jambo ambalo kwa Moshi gumu

Mleta mada kijumba chako ulichonacho baada ya miaka 30 hivi itaonekana ni takataka huko uliko
 


😄😄😄😄

Unahasira na Mimi?
 
"Tajiri kuuona ufalme wa mbingu ni sawa na ngamia kupita kwenye tundu la sindano "

Sasa tajiri ni Nani ....

Na maskini ni Nani ...?


Mimi naona tajiri ndio shetani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 

 
Overpriced items exist to make stupid people with money feel special because of what they can afford. Quality is much more important than price.
 

hoja mfu!

fasihi potoshi.

basi
 
Ujumbe wako ni mzuri kwa asilimia fulani ila namna ya kuwasilisha hoja ndiyo hujuwi na ndipo upumbavu wako ulipo na itakuchukuwa muda kutambua upumbavu wako ulipo
 


Matajiri na wenye akili siku hizi wanajenga nyumba za namna hii
 
Hata huyo Mungu mwenyewe bado humjuwi vizuri unadandia tu hoja zako

Kama unataka kumjua Mungu kasome kitabu cha Ayubu

Ghafla bin vu unaweza kujikuta ni maskini kiwango ambacho hukuwahi kufikiri wala kutarajia

Yesu Kristo mwenyewe mtoto wa Mungu alizaliwa kwenye holi la ng'ombe, kama Mungu ni wa matajiri tu kwanini hakushusha ghorofa Yesu azaliwe humo

Kuna wakati kile unachoona ni utajiri Mungu anaweza kuona ni umaskini na unyonge

Ni suala la muda tu utamfahamu Mungu vizuri
 
Maskini kuanzia rank gani?

Maana nijuavyo mimi kwa hapa dar watu wote ni masikini mbele ya billgate
 
Taja nchi yoyote duniani yenye sera hiyo. Hata Hitler hakuwa na hayo mawazo
 
Define poverty based on poverty line principle then say who is poor, kisha pima wazo lako kama linasadifu uhalisia wa ulicholeta hapa. Unawaza umasikini kwa vitu vikubwa mno brother.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…