Masikini wasipewe vibali kujenga mjini. Huchafua miji na vijumba vyao

Mimi sina pesa Mkuu ninaye Mungu.

Hekima, busara na utu ni pamoja na kusema ukweli na haki.

Sisi masikini Kwa kweli hatustahili kujenga nyumba mjini zitakuwa ni takataka tuu
Hakika, hakika nakwambia usiombe mungu akugeuzie shingo kwasababu ya kiburi Cha uzima na pesa!!!!!!
 
Tanzania hii ni kubwa sana.. kuna maeneo mengine hata hatujui lini yatakuja kufikiwa watu kuishi.. hivi hatuwezi tenga maeneo ya mbali huko kwa ajili ya watu wenye uwezo kama Beverly Hills? Yaani hawa kina bakhresa, Mo, Asas n.k wakapewa eneo na wenzao then wakajenga makasri huko makubwa na wakatusaidia kujenga miji ikawa mizuri na mikubwa?

Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
 
Time travel

Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…