Zuriiii
JF-Expert Member
- Jul 1, 2022
- 205
- 354
Ukute hata kazi ya kufanya hana ndo mana kashindwa kujua vitu vya muhimu critics zake hata watu wa kijiweni wanamshinda chuki binafsi za kupandikizwa na watu walioshikwa pabaya ndo zimemjaaKipindi cha magu niliusika kwenye ujenzi wa majengo ya hospital ela ilikuwa on time ushindwe wewe na uvivu wako, now tangu mwezi wa sita tunazungushana pesa as if hazipo hadi zimerudi kisa kuombana rushwa na maengineer,procurement officers na uzembe wa DED yaan hadi kero.
Nashangaa hili bandiko lako kuna uwezekano mkubwa utakuwa wapenda shortcuts sana