Masikini, wavivu na watu wenye roho mbaya walikuwa wakifurahia hatua za Magufuli kuturudisha kwenye UJAMAA

Ukute hata kazi ya kufanya hana ndo mana kashindwa kujua vitu vya muhimu critics zake hata watu wa kijiweni wanamshinda chuki binafsi za kupandikizwa na watu walioshikwa pabaya ndo zimemjaa
 
Yani bure kabisa, capitalism ilienda sawia na industrial revolution. Mtoa mada aseme anamiliki kiwanda gani ili kufaa kujiita tajiri au bepari?
Exactly !! Mtu afanye biashara ya halali na ionekane ili kodi pia ionekane inalipwa bila hujuma zozote zile !! Baadhi ya watu wanadhani Capitalism ni pamoja na magendo na kukwepa kulipa kodi !! Au kupiga madili serikalini nayo ni Capitalism !!
 
Yani watu kunyimwa fursa za wizi maofisini wamegeukia kumuita raisi dikteta πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ inashangaza mno. Eti oh raisi anachukia matajiri sijui raisi anataka wote tuwe wajamaa. Wewe kiwanda gani unamiliki zaidi ya kibarua chako kwenye serikali hio hio unayoikandia?

Sasa raisi anachukia matajiri au matajiri hawafuati utaratibu? Tatizo sheria dhidi ya hao matajiri na uendeshaji wa biashara zao zilikuwa hazifuatwi wakazoea kuiweka serikali mfukoni mwao. Sasa
alipokuja mtu ambaye aliamua kuzisimamia sheria vilivyo ndio vilio vikaanza kila kona.
 
Na huo ndio ukweli mchungu !!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…