secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
Hivi mtu anaposema, "binafsi yangu", anamaanisha nini?
Binafsi + yangu= ?
Binafsi + yangu= ?
Nikapita barabara ya Mandela RoadHivi mtu anaposema, "binafsi yangu", anamaanisha nini?
Binafsi + yangu= ?
According to Mudi Said, right?Kuna dingi mmoja humu ila basi tu,
View attachment 3643989
Bwashee nifungulie kodi tafadhali.Jambo muhimu sana
Rudi tena
Kumbuka akilini
Mimi binafsi
Shalulile ni miongoni mwa 'm'chezaji 'm'kubwa barani Afrika.Kwa niaba yangu😁
Watanzania wengi walikosa lishe bora utotoni kwa hiyo IQ zao ziko chini sanaShalulile ni miongoni mwa 'm'chezaji 'm'kubwa barani Afrika.
Muhimu tayari imaliza hakuna haja ya sanaBwashee nifungulie kodi tafadhali.
Shida siyo lishe, ni kwamba hawataki tu kujifunza.Watanzania wengi walikosa lishe bora utotoni kwa hiyo IQ zao ziko chini sana
Nadhani lugha ya kiswahili bado inahitaji marekebisho mengi sana.Muhimu tayari imaliza hakuna haja ya sana
Rudi , imaliza umuhimu wa tena
Kumbuka lazima iwe akilini hakuna umuhimu wa kusema akilini
Mimi inatosha hakuna haja ya binafsi kwa sababu binafsi inarejea wew tena
Note: Naona wanasema hivyo tu kama msisitizo zaidi wa jambo fulani.
Kiswahili kipo safi , tatizo tumekizoea mno kukisoma kwa usahihi na kutia mkazo tunapotezea , nisawa una mke mzuri ndani halafu unamwona wakawaida haumpatii matunzo stahiki.Nadhani lugha ya kiswahili bado inahitaji marekebisho mengi sana.
Hili ni neno langu , mama alikua anavuta masikio nikisema hivyo😅 asilimia kubwa ya wachaga wanapenda kusema hivyoNilimkuta hayupo 😝
Hata mimi "Nilikukuta haupo" 😅😝Hili ni neno langu , mama alikua anavuta masikio nikisema hivyo😅 asilimia kubwa ya wachaga wanapenda kusema hivyo
Kwa mujibu wa BAKITA ukisema:Kiswahili kipo safi , tatizo tumekizoea mno kukisoma kwa usahihi na kutia mkazo tunapotezea , nisawa una mke mzuri ndani halafu unamwona wakawaida haumpatii matunzo stahiki.