Masikio yangu yanaumia sana nikimsikia mtu anasema, "binafsi yangu" 😸😹

Bwashee nifungulie kodi tafadhali.
Muhimu tayari imaliza hakuna haja ya sana
Rudi , imaliza umuhimu wa tena

Kumbuka lazima iwe akilini hakuna umuhimu wa kusema akilini

Mimi inatosha hakuna haja ya binafsi kwa sababu binafsi inarejea wew tena


Note: Naona wanasema hivyo tu kama msisitizo zaidi wa jambo fulani.
 
Nadhani lugha ya kiswahili bado inahitaji marekebisho mengi sana.
 
Kiswahili kipo safi , tatizo tumekizoea mno kukisoma kwa usahihi na kutia mkazo tunapotezea , nisawa una mke mzuri ndani halafu unamwona wakawaida haumpatii matunzo stahiki.
Kwa mujibu wa BAKITA ukisema:

Baba yangu ni kosa,
ukisema baba wangu ndiyo sahihi.

Sasa Mimi kutokana na mazoea kila nikitaka kusema "baba wangu" mdomo wangu hupatwa na ujauzito πŸ˜‚.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…