Black nyeti
JF-Expert Member
- Jun 30, 2025
- 692
- 1,131
Msukuliwe
Hutupendi sana wewe 😂😂Kikao cha mambwa hapa hakosekani tiger, chui, bobi, black chaina 😹😹
Zemanda huyu wa nyuma pembeni analinda usalama 🤣
Hawa wadau wakorofi sana
Mna vikao vingi ila hamfikii muafaka tumewachoka..!! 😹😹Hutupendi sana wewe 😂😂
Ahahah..au alimaanisha na wewe hao wanaoitwa Simp??? 😂😂Mada za hivi wanazimudu sana, juzi ephen_ alidai na mim ni simple sijui alimaanisha nini😅
MBina mnabadilisha kila siku ndio maana mikakati inatakiwa ku change. Plus kwenye chama kumejaa wasaliti sasa muhimu vikao vya mara kwa maraMna vikao vingi ila hamfikii muafaka tumewachoka..!! 😹😹
Haswaaa mimi sioni kama kuwa simp ni tatizzoAhahah..au alimaanisha na wewe hao wanaoitwa Simp??? 😂😂
Usimp ni Janga na Wanaongezeka kila siku.
Na wanawake wanajua Kweli kweli kuwatumia Huku Wakiwapa Majina ya Kinafki kama vile "Gentleman" " Mwanaume anaejielewa"
Hahaha nice guy ni kitu kizuri hichoSikusema simp, nilisema wewe ni nice guy
Ahahaha..ubaya mimi sina ujuzi na hii topic so acha nikae kimyaHaswaaa mimi sioni kama kuwa simp ni tatizzo
Juzi nilikua hospital, akaja mke na mume wake.Hahaha nice guy ni kitu kizuri hicho
Watakuja ,hawa sio waoga broHizi corridor huwa wanapita kimya kimya kama wauza bange wanavyopita kituo cha polisi.
Very true.Vijana wapambane kujenga maisha yao na wajipe kipaumbele wao wenyewe. Waachane na majukumu ambayo hayawahusu. Dunia haina huruma kwa mwanaume asiekua na hela. Mwanamke ana baba, mama, kaka, dada, nini kinachokufanya ufikiri ni wajibu wako kumuhudumia? Ask yourself a simple question, why should a woman get your money when she brings you nothing valuable?
Hapo ni umejionea simp kwa macho yako. 😂😂Juzi nilikua hospital, akaja mke na mume wake.
Mke alikua amevaa baibui ila huku nyuma ana mzigo mpaka baibui limembana.
Kilichochukua attention yangu kwao ni mume alikua kabeba pochi ya mke wake na mtoto halafu mke anatembea hajabeba kitu.