min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 61,672
- 178,673
Hiyo ni kawaida kwa watu wanaopendana ,mimi nimeona kwa baba na mama yangu wameishi hivyo , hata mzee kuna kipindi alikua anapika na mama yupo ,na nafasi yake kama baba ,ilikua ya kutisha akisimamia kiti chake tunatawanyika kama panya kaona paka.Juzi nilikua hospital, akaja mke na mume wake.
Mke alikua amevaa baibui ila huku nyuma ana mzigo mpaka baibui limembana.
Kilichochukua attention yangu kwao ni mume alikua kabeba pochi ya mke wake na mtoto halafu mke anatembea hajabeba kitu.