Kapeace
JF-Expert Member
- May 26, 2017
- 26,224
- 71,873
Uwe simp au usiwe it is none of my concernMimi sio simp ndio maana naupiga vita. Mshua ndio kabisa hata hakuwahi and he was a pure Patriarchy structure.
Uwe simp au usiwe it is none of my concernMimi sio simp ndio maana naupiga vita. Mshua ndio kabisa hata hakuwahi and he was a pure Patriarchy structure.
Kama alipika kama hobby yake ni sawa ila kama alipika kwasababu anawekewa zamu na mkewe na hataki kumuudhi then hapo kuna tatizo na litahamia kwa watoto.Hiyo ni kawaida kwa watu wanaopendana ,mimi nimeona kwa baba na mama yangu wameishi hivyo , hata mzee kuna kipindi alikua anapika na mama yupo ,na nafasi yake kama baba ,ilikua ya kutisha akisimamia kiti chake tunatawanyika kama panya kaona paka.
Sasa hii sio kawaida mwanaume unabeba pochi ili uonyeshe kitu gani ?Hata kubeba pochi kawaida tu
Kwani jambo baya??That's a whole new discussion bro. Pimp tena?😂
Na hapo atakuwa anajiona mjanja kwamba anaonekana mwanaume kwa kufanya hata mambo ambayo hajaambiwa na mwanamke.Nna mwanangu hua namuonea huruma sn, huo usimp si ndo wale mr nice guy wanaumizwaga sn na madem,yani mwamba anataka kutimiza kila kitu dem anataka.
Kwa muktadha wa mada yako hujaelewa maana ya PIMP.Yaani unauliza kuwa kuwauza wanawake wanaotoa huduma ya ngono ni jambo baya,au haujui maana ya pimp?🤔
😂😂😂😂😂Wewe kama ni Alpha Basi huna haja ya kuwasema.
Shida ni kwamba wengi wanaojiita Alpha sio Alpha kiukweli hivyo huumizwa na wazee wa shobo dundo.
Noma mzeee, hao 10 ni Alpha dudes,vitendo vinaongeaHao ni walimwengu kwenye ulimwengu wenye hila na udanganyifu.
Ni ngumu Sana kutenganisha maumivu ya mwanaume mbele ya kiumbe mwanamke.
Kwenye wanaume 100
80 wanasimp na kushoboka kama unavyosema.
10 Wana maumivu ya kimya ni vile wanajikaza kisabuni.
10 ni majamaa fulani,yaani mwanamke akitishia kuachana hayashituki,hayawazi yenyewe yapo bize na mambo yao.
Hata wanapotoa pesa si kwaajili ya kumvutia mwanamke Bali kumsaidia,na ikitokea majamaa yakigundua pesa inaendesha penzi lao huwa yanalog out faster.
KwishaaHao ni walimwengu kwenye ulimwengu wenye hila na udanganyifu.