Masimp a.k.a mwanaume zoba, mwanaume ndezi, mwanaume mzembe

Vijana wapambane kujenga maisha yao na wajipe kipaumbele wao wenyewe. Waachane na majukumu ambayo hayawahusu. Dunia haina huruma kwa mwanaume asiekua na hela. Mwanamke ana baba, mama, kaka, dada, nini kinachokufanya ufikiri ni wajibu wako kumuhudumia? Ask yourself a simple question, why should a woman get your money when she brings you nothing valuable?
 
Very true.
 
Juzi nilikua hospital, akaja mke na mume wake.
Mke alikua amevaa baibui ila huku nyuma ana mzigo mpaka baibui limembana.
Kilichochukua attention yangu kwao ni mume alikua kabeba pochi ya mke wake na mtoto halafu mke anatembea hajabeba kitu.
Hapo ni umejionea simp kwa macho yako. 😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…