Hiyo ni kawaida kwa watu wanaopendana ,mimi nimeona kwa baba na mama yangu wameishi hivyo , hata mzee kuna kipindi alikua anapika na mama yupo ,na nafasi yake kama baba ,ilikua ya kutisha akisimamia kiti chake tunatawanyika kama panya kaona paka.Juzi nilikua hospital, akaja mke na mume wake.
Mke alikua amevaa baibui ila huku nyuma ana mzigo mpaka baibui limembana.
Kilichochukua attention yangu kwao ni mume alikua kabeba pochi ya mke wake na mtoto halafu mke anatembea hajabeba kitu.
Si kabeba mzigo huko nyumaJuzi nilikua hospital, akaja mke na mume wake.
Mke alikua amevaa baibui ila huku nyuma ana mzigo mpaka baibui limembana.
Kilichochukua attention yangu kwao ni mume alikua kabeba pochi ya mke wake na mtoto halafu mke anatembea hajabeba kitu.
Kupika kawaidaHiyo ni kawaida kwa watu wanaopendana ,mimi nimeona kwa baba na mama yangu wameishi hivyo , hata mzee kuna kipindi alikua anapika na mama yupo ,na nafasi yake kama baba ,ilikua ya kutisha akisimamia kiti chake tunatawanyika kama panya kaona paka.
Hata kubeba pochi kawaida tuKupika kawaida
Ndefu nimeshindwa kuisoma yoteNielekeze wapi haujaelewa nikuelekeze.
Lamomy Ms R Mzigua90 Joanah shibela Atoto Joannah Donatila Numbisa Aaliyyah Heaven Sent masai dada Ukweli mchunguMfano unamnunulia mwanamke pete ya milioni 10, gauni la milioni 5, unampeleka hoteli ya milioni 50 for valentine’s special package. Huyu mwanamke akikupenda kwa haya unayofanya njoo nitakurudishia gharama zako za uwekezaji.
Kuwa na jitihada ya kusoma na kujifunza inasaidia kuupa ubongo na akili maarifa mapya. Kushindwa kusoma jambo ni kuikataza akili yako kujifunza.Ndefu nimeshindwa kuisoma yote
Kabisa mzee,usimp ni mzigo na utumwa.Hizi Mada ni muhimu sana kwa vijana wa kiume kiukweli wengi wao wanateseka sana
Nakumbuka kipindi fulani nipo Chuo,kuna mwamba aliiba simu ya masela room ili akaiuze apate chapaa za kumhudumia demu wake
Huyu ndio aina ya watu ambao mtoa Mada anaongelea,wapo radhi wafanye chochote kile ilimradi apate thamani kutoka kwa mwanamke wake
Muache ujinga vijana
Point yangu ni kwamba Nilishangaa mwanaume kubeba begi na mtoto peke yakeHata kubeba pochi kawaida tu
Msingi wa mahusiano ni kuishi pamoja kwa kusaidiana, kujaliana, kushirikiana, kupeana moyo, kulindana,na kutotumiana kwa mafao au faida binafsi.Tafsiri halisi ya mahusiano Bora ni ipi kwako ambayo kila mtu anaweza itumia kama framework ya usahihi wa mahusiano yalivyo!!?
Hakuna namna halisi ya ku deal na hivi viumbe ambayo unaweza sema imedhibiti aina yote ya udhaifu wa jinsia mojawapo hasa sisi wanaume!!
Sheria ya kipaumbele Kwa watoto na Wanawake ndio msingi mkuu wa shaping katika jamii!!
Kuhubiri ubabe wa kihisia haiwezi kuwa dawa ya kutuokoa na janga hili kubwa linaloonekana!!!!
SCENARIO
Kuna mwanamke analalamika kazalishwa watoto wanna eti hajatolewa mahari na mwingine kaenda kuolewa Kwa mahari na jamaa huyo huyo!Anaona amedhalilika sana!!japo jamaa hajamuacha bado na Sasa mama huyo kaamua kuhama kijiji Kwa kuona aibu na kukuza status ya kiutumishi!!
Katika scenario hiyo yupi ni mbabe was kihisia na yupi no mtumwa was dhana na imani za kitumwa kwenye jamii!!?
Dhana ya mahusiano ni pana sana!
Kwa namna alivyoelezea huo simp, ni wazi nae yupo humo au aliushuhudia kwa baba yake,