Masimp a.k.a mwanaume zoba, mwanaume ndezi, mwanaume mzembe

Hiyo ni kawaida kwa watu wanaopendana ,mimi nimeona kwa baba na mama yangu wameishi hivyo , hata mzee kuna kipindi alikua anapika na mama yupo ,na nafasi yake kama baba ,ilikua ya kutisha akisimamia kiti chake tunatawanyika kama panya kaona paka.
Kama alipika kama hobby yake ni sawa ila kama alipika kwasababu anawekewa zamu na mkewe na hataki kumuudhi then hapo kuna tatizo na litahamia kwa watoto.
 
Hata kubeba pochi kawaida tu
Sasa hii sio kawaida mwanaume unabeba pochi ili uonyeshe kitu gani ?

Unapishana na bwana mdogo wa miaka 15 wewe upo na mke anatembea kajiachia wewe umebeba mtoto na pochi yake, hiyo ujumbe gani unatuma hapo mzee?
 
Nna mwanangu hua namuonea huruma sn, huo usimp si ndo wale mr nice guy wanaumizwaga sn na madem,yani mwamba anataka kutimiza kila kitu dem anataka.
Na hapo atakuwa anajiona mjanja kwamba anaonekana mwanaume kwa kufanya hata mambo ambayo hajaambiwa na mwanamke.
 
Wewe kama ni Alpha Basi huna haja ya kuwasema.
Shida ni kwamba wengi wanaojiita Alpha sio Alpha kiukweli hivyo huumizwa na wazee wa shobo dundo.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kaka wa gazeti ktk ubora wake, shida wasomaji lengwa hawataki wala kufuata wasomayo.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Noma mzeee, hao 10 ni Alpha dudes,vitendo vinaongea
 
Kwishaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…