Masimp a.k.a mwanaume zoba, mwanaume ndezi, mwanaume mzembe

Juzi nilikua hospital, akaja mke na mume wake.
Mke alikua amevaa baibui ila huku nyuma ana mzigo mpaka baibui limembana.
Kilichochukua attention yangu kwao ni mume alikua kabeba pochi ya mke wake na mtoto halafu mke anatembea hajabeba kitu.
Ungechukua namba mkuu, hilo ume lake ni moja ya masimp Africa nzima
 
Usimp ni Janga na Wanaongezeka kila siku.

Na wanawake wanajua Kweli kweli kuwatumia Huku Wakiwapa Majina ya Kinafki kama vile "Gentleman" " Mwanaume anaejielewa"
Philippines series and Korean series ndio mzizi was yote hayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…