Masister duu na wanawake wa maofisini mnatembea na vinyesi

Masister duu na wanawake wa maofisini mnatembea na vinyesi

Huku siku hizi watoto wa kiume ni wengi kuliko wanaume
Hakuna dada anayejipenda atafanya ujinga huo watu wananawa na maji then wanajikausha na hizo tissue na hizo wet tissue mara nyingi tunafutia viatu au mikono baada ya kula umenawa shombo ya ChAkula kama haijatoka unafuta nayo mana zinakuwa na harufu ya marashi
 
Halafu sasa ukipiga mashine wanaanza kutoa harufu mbayaaaaa, aiseee maji ni muhimu yatumike
 
Unadhani sisi tuna kazi my dear. Wale wanaokerwa na mambo yasiyo yao ndio wana kazi. Hahahaaa.

Sababu nina uhakika kwa asilimia 80 hajui hata wanawake wanatumia tishu wakati gani.

Hebu atupishe sie. Ila namshauri aende huko akarudie kuchungulia wanawake wanatumiaje tishu sababu hapo hajaona kitu. Hahahaaaa.
Wa kwetu hapa nakataa, wale wanaotumia hizo karatasi sijui tissue wanawapa shida na wengine ujue.
 
Nani kakuambia dar tuna shida? shida ya nini wakati kila kitu kipo,kama vyakula mnatuletea tunawapa chenchi, na kama ni papa zinapatikana kibao za kihaya,shida mnazo nyie huko porini
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] duuh!
 
Unadhani sisi tuna kazi my dear. Wale wanaokerwa na mambo yasiyo yao ndio wana kazi. Hahahaaa.

Sababu nina uhakika kwa asilimia 80 hajui hata wanawake wanatumia tishu wakati gani.

Hebu atupishe sie. Ila namshauri aende huko akarudie kuchungulia wanawake wanatumiaje tishu sababu hapo hajaona kitu. Hahahaaaa.
Kwakweli hajui hizo wipes znatumika vipi ...anatujazia nzi tuu hapa
 
Back
Top Bottom