Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Hahaahaaa. Umejua kunichekesha my dear.na tusiovaa chupi inakuwaje?
Ndio hapo sasa. [emoji2]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaahaaa. Umejua kunichekesha my dear.na tusiovaa chupi inakuwaje?
haja kubwa si unaiacha nyumbani asubuhi au?sasa kwenda kunyakunya ofisini au majengoni haja inatoka wapi au ndo wale wale kila akikata kona ni kutafuna tafuna kama nguruweKiukweli maji ya public toilet sichambi nayo kuna siku nilikuta kohozi Kwenye maji bora Hizo wipes jamani. Au km ni haja Kubwa ninunue maji ya chupa. Lakini haja ndogo utanisamehe mtoa Mada.
maana joto la dar ni hatali,nashauli wanawake tusivae chupi kabisa im serious.Hahaahaaa. Umejua kunichekesha my dear.
Ndio hapo sasa. [emoji2]
HaswaaaHahahaaa. Umeonaeee.
We we we weee. Mmh. Tusivae tena. [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15].maana joto la dar ni hatali,nashauli wanawake tusivae chupi kabisa im serious.
Kunuka kYaani siku izi wadada wengi haswa warembo na wa maofisini wanamchezo wa kutembea na tishu na vijitambaa flani mfano wa tishu vinakuwa na unyevu unyevu hivi sasa kumbe hizi tissue na vijitambaa ndo wakienda msalani kukata magogo au haja ndogo wanajipangusa wanaondoka eti kisa hawataki mimaji maji mimaji yaani huu ni uchafu wa kiwango cha kimataifa ivi kwa nn mwanamke utumie tissue? Ndo maana nyuzi za maradhi yenu sehemu za siri haziishi mnatembea na uchafu haswa madada wa maofisini, wadada wa chuo na ma sister duu tishu mnajipaka vinyesi
ata mimi mwanzo nilifikili kama wewe,alakini baadaye nikaamua kutovaa chupi yaani laha kweli mpaka loho inapoa sio uchi peke yakeWe we we weee. Mmh. Tusivae tena. [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15].
Kisa joto tu. Hahahaaaaaa.
Mie siko Dar my dear hivyo hayo hata siyawezi shoga. Nilipo kuna baridi hatari.ata mimi mwanzo nilifikili kama wewe,alakini baadaye nikaamua kutovaa chupi yaani laha kweli mpaka loho inapoa sio uchi peke yake
basi umeshinda bibie acha sisi tuvianike sisimizi watuchungulieMie siko Dar my dear hivyo hayo hata siyawezi shoga. Nilipo kuna baridi hatari.
Hayo tunawaachia nyie watu wa Dar. Hahahaaaa.
Ingekuwa kule kwetu ningesema pamoja na siafu. Hahahaaaa.basi umeshinda bibie acha sisi tuvianike sisimizi watuchungulie
acha nao wafaidi kuona matobo na makorongo bila kusahau misituIngekuwa kule kwetu ningesema pamoja na siafu. Hahahaaaa.
Una maneno wewe duuh. Haya kwaheri mwaya.acha nao wafaidi kuona matobo na makorongo bila kusahau misitu
Kweli mpate hewa safi[emoji12]maana joto la dar ni hatali,nashauli wanawake tusivae chupi kabisa im serious.
na kunyampa kwa kujiachiaKweli mpate hewa safi[emoji12]
ILA ukitaja hivyo unaamsha waliolala ati. Maana [emoji12]na kunyampa kwa kujiachia
vipi umedindisha tayali?ILA ukitaja hivyo unaamsha waliolala ati. Maana [emoji12]
Mvua za dar huzioni kwani!vipi umedindisha tayali?