Nokia83
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 24,643
- 44,320
kuna watu wanakosa kazi za ku fanya mpaka kuchungza vitu kama ivi
Naww unatumiaga?!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kuna watu wanakosa kazi za ku fanya mpaka kuchungza vitu kama ivi
Mimi ndo sijui kabisa Kwanza ni fedhea mwanaume kumfuatilia mwanamke.. wanaume kazi yetu ni kuwatatulia matatizo wanawake wanapolalamika ndo maana tunasoma biologo8Unadhani sisi tuna kazi my dear. Wale wanaokerwa na mambo yasiyo yao ndio wana kazi. Hahahaaa.
Sababu nina uhakika kwa asilimia 80 hajui hata wanawake wanatumia tishu wakati gani.
Hebu atupishe sie. Ila namshauri aende huko akarudie kuchungulia wanawake wanatumiaje tishu sababu hapo hajaona kitu. Hahahaaaa.
Punguza jazba ili ujibu hoja vizuriHa ha ha haaaa, wadau wamemjibu vizuri kweli.
Wewe ishi maisha yako, zile wipes sio za chooni tu hata mikononi na usoni pia, halafu unaonekana huna kazi ya kufanya.
Yaani umekaa mpaka unachunguza muda watu wanaenda kukata magogo?
Eboooo. Kasome kule.
Kweli kabisa mkuu usemalo.Mimi ndo sijui kabisa Kwanza ni fedhea mwanaume kumfuatilia mwanamke.. wanaume kazi yetu ni kuwatatulia matatizo wanawake wanapolalamika ndo maana tunasoma biologo8
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Mkuu mbona wewe unatembea na tundu la choo lakn hawakusemi!
Hii Dada mzima?..Kweli kabisa mkuu usemalo.
Ila watakaokuelewa hapa lazima wawe wachache. Hahahaaa.
Sio kohoz hlo dada angu,hilo ni bao mtu alikua ana piga masta likarukia hukoKiukweli maji ya public toilet sichambi nayo kuna siku nilikuta kohozi Kwenye maji bora Hizo wipes jamani. Au km ni haja Kubwa ninunue maji ya chupa. Lakini haja ndogo utanisamehe mtoa Mada.
Nenda jukwaa la siasaMbona kama JF imeharibika? What a bulshit is this 'great thinkers?'