Maskini Baba Diamond, azidiwa ghafla

Maskini Baba Diamond, azidiwa ghafla

Nahisi kama tunatangaza na kituo cha afya humo humo...
 
huu ugomvi wa mondi na baba yake unakuzwa sana na magazeti ya udaku ili wauze wapige hela. nikiangalia hizo picha naona kabisa hiyo ni movie kama zilizokuwa kwenye magazeti ya zamani kama mcheshi, filamu tanzania, n.k. enzi za waandishi wakina katalambula, nico ye mbajo n.k. kwani sioni mgonjwa hapo wa ukweli na hata daktari wa ukweli simuoni pia wote wanaonekana waigizaji. mondi sio mtoto mdogo sasa hivi anatakiwa kuchukua maamuzi magumu ya kuendelea kumsaidia baba yake (naamini anampa misaada ya msingi anayostahili) na ampige marufuku kujihusisha na mahajiono na vyombo vya habari. kinachoonekana kwa huyo dingi ni kuona mtalaka wake (mama mondi) kuwa anafaidi sana kuliko yeye. kwa sababu waliachana sio rahisi kwa mondi kukaa na wote kwa pamoja lazima mmoja asaidiwe akiwa mbali na hisia zangu ni kuwa huyo dingi atakuwa hana matumizi mazuri ya pesa ndio shida inapoanzia hapo.
 
Watoto msipende kuwasikiliza sana mama zenu hamuwezi jua nini kiliwatenganisha.....ni bora tu mondi ajitoe ufahamu amsaidie alafu huyu mzee malipo yake yawe kwa mungu.mwenyewe kwani yeye ndiye anayejua
Mwangalieni kanumba Naye alikuwa na kisasi kama mondi tu
LAKINI hata yeye alikufa na akamwacha baba yake na kinyongo chake moyoni...jiulizeniiii

Mondo yuko sahihi 100%
 
usiangalie matokeo angalia na sababu ya matokeo pia...hawa wazee waliokula ujana enzi zao na kuwaacha watoto wao wakiteseka na mama zao huwaga siwaonei huruma kabisa.

Mimi pia yamenikuta kama hayo..naumwa nimelazwa Amana hospital na bi.mkubwa alikila pembeni uangu hana kitu baba yangu mzazi anashindana kuwatunza hela wakina Tx Moshi na Maalim Gurumo pale Amana Vijana center
Huna uelewa wa kutosha kujua ni kipi cha kukichukia, ipo siku utapata uelewa huo kwa kuijua kanuni
 
Kwa yeyote mdadisi, ni rahisi kugundua kwamba huyo baba wa diamond aliandaliwa kwamba achukuliwe picha huku akionekana kusaidiwa na wahudumu wa hapo hospital, ili kijana apakaziwe na magazeti ya udaku.
Alafu... iweje mzee aende kwenye matibabu huku akiwa amejiandaa na wapiga picha?
Alafu.... kama mzee alikwenda kupata matibabu, kwanini aliwaita makanjanja wa magazeti ya udaku ili wakipake kwa mwanae?
Agghhhh....[emoji51] [emoji51] [emoji51]
Kiki..!
 
Wewe nae ndo wale wale. Kusoma hujui hata picha huoni? Kama mond haja wahi sema ana tatizo na baba, bali tatizo ni mama mbona hamsaidii baba yake? Si angeacha ugomvi wa wazazi bila yeye kuonyesha wazi anambagua baba yake kwa ajili ya maneno aliyoaambiwa na mama yake? Mwambieni ukweli, kumtetea ndo kumpa kichwa. Yeye sio wa kwanza kutelekezwa. Hata wewe nahisi humjui dingi ndo mana naona unatetea sana.
Ebu tueleweshane polepole binti....
Kwani baba wa Mondi aliwahi kusema kwamba mwanae hajawahi kumsaidia[emoji15]
Na lini uliwahi sikia Mondi akisema kwamba baba yake alimtelekeza[emoji47]
Minarudia kusema kwamba tuache uswahili wa kuwawekea watu maneno mdomoni, maana hayo yote yasemwayo ni mawazo na mtazamo watanzania.
Na pia mzee kwenda na kupigwa picha ili aonewe huruma na watanzania, hapo naona alikosea. Kama anatatizo kwanini hakuwasiliana na mwanae moja kwa moja? Na kwa kuenda kuuza habari kwakua mwanae ni superstar kwenye magazeti unadhani ndio itamuweka karibu na mwanae?
 
Kwa yeyote mdadisi, ni rahisi kugundua kwamba huyo baba wa diamond aliandaliwa kwamba achukuliwe picha huku akionekana kusaidiwa na wahudumu wa hapo hospital, ili kijana apakaziwe na magazeti ya udaku.
Alafu... iweje mzee aende kwenye matibabu huku akiwa amejiandaa na wapiga picha?
Alafu.... kama mzee alikwenda kupata matibabu, kwanini aliwaita makanjanja wa magazeti ya udaku ili wakipake kwa mwanae?
Agghhhh....[emoji51] [emoji51] [emoji51]
Tatizo lenu waswahili huwa hamsomi habari kamili..mnakurupuka kuchangia
 
Kwahiyo aliita waandishi wa habari wakati anaenda zahanati....? Muache avune alichopanda, diamond hasingekua star leo hii huyo mzee angemkubali ?

Muache asote tu
We huna wazazi
 
Baba ni baba tu hata kama ni shetani...Diamond Msaidie baba yako

Ugomvi wa baba yako na mama yako haukuhusu

Sahau yaliyopita...Mjali mzazi wako....

Wewe zi zao la damu yake...huna baba mwingine zaidi ya huyo
 
Kwa yeyote mdadisi, ni rahisi kugundua kwamba huyo baba wa diamond aliandaliwa kwamba achukuliwe picha huku akionekana kusaidiwa na wahudumu wa hapo hospital, ili kijana apakaziwe na magazeti ya udaku.
Alafu... iweje mzee aende kwenye matibabu huku akiwa amejiandaa na wapiga picha?
Alafu.... kama mzee alikwenda kupata matibabu, kwanini aliwaita makanjanja wa magazeti ya udaku ili wakipake kwa mwanae?
Agghhhh....[emoji51] [emoji51] [emoji51]
Hii haijakawa sawa, huyu Dr pia kamtumia huyu baba kama PR kutokana na udhaifu wake kipesa wamemtumia hata kama anaumwa ilikuwa sio sawa walichofanya maana hata picha wako kama wana pose hili ni tatizo moja. kurudi kwa Diamond anachotakiwa ni kumpa heshima kama baba na kumpa anachoweza bila kujali history maana yaliyotekea ya baba yake na mama yake sio shughuli yake huwezi kujuwa yule mama alimuumiza mzazi mwenzie lakini kama una uhakika ni baba yako basi dini zote zinatuambia tuwaangalie wazee na hakuna sehemu Mungu kasema akiwa alifanya hivi mtupe hapana kuwaangalia wazee sio lazima uwe na pesa ni heshima na kumjali hakuna mzazi atataka pesa halafu usimpe heshima kama mzazi. Mimi simjui Diamond lakini kwa ushauri tu arudi katika mafundisho ya dini na pia yeye sio mtu wa kwanza wako waliokimbiwa na wazee wao na hata mama zao lakini wanawatafuta wawajue ni vizuri akampa heshima kama baba na hapa sisemi pesa heshima kama mzazi tu.
 
Binafsi, Namshauri Diamond amlee baba yake, Wazazi ni watu wa muhimu sana, aliyofanyiwa na Baba yake mbona hata sisi tumefanyiwa mengi sana, lakini wazazi hawakoseagi, Mungu ametuasa tusamehe 7x70! Haina haja ya kwenda kusali kama kuna mtu hamjaelewana. Sijui lakini, But ukweli Kijana anatakiwa amlee huyo Mzee mpaka mwisho wake. Hapaswi kufanya hivyo, Kijijini Mama zetu wanaachiwa watoto na Waume zao, Waume wanarudi hata baada ya miaka 3, tena wanaachwa wakati wa njaa, Wanarudi na bado maisha yanaendelea kama kawaida. Adhabu aliyompa inatosha
 
Omba Mungu awaweke mshuhudie kifo cha diamond siku moja..!

Ni mjinga sana! Angesamehe yaishe ila nadhani anajua kuwa anazo dhambi nyingi kuliko hii ya kuto msamehe baba yake ndiyo maana haoni umhimu.

Bila shahawa za huyu mzee uplatnum angeupata wapi? Anajifanya hajui mchango wa huyu mzee kwenye maisha yake! Shahawa zenyewe ni mchango kulijo kitu chochote kile klilicho changia uwepo wa diamond na jinsi alivyo..!
Hujawahi kutelekezwa wewe,mambo ya familia tuyaache,huyu mzee anaonekana kama anatumiwa na maadui wa Nasib
 
Diamond should learn to forgive and forget,ugomvi wa baba na mama hasiuendekeze maana kata ya hao wawili hakuna hata mmoja atakayemueleza Diamond ukweli wa kiaiini cha ugomvi wao,kila mmoja anamlaumu mwenzie ilihali kila mtu ana siri yake moyoni
 
Pole baba D na Pole pia kwa Diamond mwenyewe tatizo umaarufu kila mtu anajifanya anakulaumu ila mimi naamini Diamond mwenyewe anajua kinachoendelea na suala lao la kifamilia wananchi tuache umbea, kama unamuonea huruma mzee wake nendeni mkamsaidie wenyewe
 
Back
Top Bottom