Ushimen
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 40,828
- 99,523
Hapo mzee hana fainali, zaidi ya wajanja wachache kumtumia kwa kupitia shida zake aiseeee..Finali uzeeni. Pole zake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo mzee hana fainali, zaidi ya wajanja wachache kumtumia kwa kupitia shida zake aiseeee..Finali uzeeni. Pole zake
Utamkanaje baba yako halafu ukabaki salama?STEVEN CHARLES KANUMBA NAYE ALIKUWA HIVI HIVI
JIULIZENI YUPO WAPI SAIVI?
NI HERI MTU USAMEHE TU THEN UMUACHIE MUNGU ATOE HUKUMU MWENYEWE
Liwe fundisho kwa sperm donors woteKweli kabisa, ugomvi wa baba na mama haukuhusu mtoto! Ninachokiona ni kuwa Diamond kubebeshwa mbegu ya chuki na mama yake ili amchukie baba yake na ndivyo ilivyo kwa wanawake wengi wasio na elimu na washamba! Baba atabaki kuwa baba regardless ni makosa mangapi aliofanya nyuma, ukishakuwa mwanaume mtu mzima you have to learn to understand things but sioni Diamond akifanya hilo ilihali baba yake alishaonyesha kujuta kwa makosa yake. Huwezi kumsamehe mtu na bado ukaendelea kuwa na kinyongo nae...Haiwezekani!!!
UGOMVI WA BABA NA MAMA YAKO HAUKUUSU
NDIO MAANA NIMEWAPA MfANO WA HUYO KANUMBA NA USTAR WOTE HULE UPEDESHEE WOTE ULE NAYE ALIJAZWA SUMU NA MAMA YAKE HIVYO HIVYO MWISHO WASIKU AMEONDOKA NA KINYONGO CHAKE
JIULIZENI HUKO ANAJIBU NINI?
KITENDO CHA BABA YAKO KUMUTOA KIUNONI NI KIKUBWA SANA NA HUWEZI JUA WALIACHANA VIPI SO UGOMVI WAO WAACHIE WENYEWE
kanuni ipi unazungumzia?!wewe ujapitia maisha ya namna hii unaweza sema chochote ila hakuna kitu kibaya kwa mtoto kama unashindwa kula,huna nguo za kuvaa,mnahama hama kwa ndugu mkisimangwa alafu baba yako yupo mzima na nguvu zake mjini humu humu akitanua na vimada.Huna uelewa wa kutosha kujua ni kipi cha kukichukia, ipo siku utapata uelewa huo kwa kuijua kanuni
Usitakae tulione hili tatizo kwa mtazamo wako wewe.STEVEN CHARLES KANUMBA NAYE ALIKUWA HIVI HIVI
JIULIZENI YUPO WAPI SAIVI?
NI HERI MTU USAMEHE TU THEN UMUACHIE MUNGU ATOE HUKUMU MWENYEWE
Ukifukuzwa/ukikimbizwa na simba, katika kukimbia kwako ukatumbukia kwenye shimo, ndani ya shimo hilo ukakutana uso kwa uso na kipande cha almasi ya kilo moja!!!! Kwa njia hiyo ukajipata umekuwa tajiri mkubwa!!!kanuni ipi unazungumzia?!wewe ujapitia maisha ya namna hii unaweza sema chochote ila hakuna kitu kibaya kwa mtoto kama unashindwa kula,huna nguo za kuvaa,mnahama hama kwa ndugu mkisimangwa alafu baba yako yupo mzima na nguvu zake mjini humu humu akitanua na vimada.
Sikia hivi hivi kwa watu tukikupa simulizi hawa wazee kavu sana..huwezi kutaka kuvuna kwenye shamba ambalo ukulipanda
Hesabu ni sanaa, sio sayansi.Basi na wewe zaa wako umtelekeze ili baadae aje kuwa star mkubwa!
Ukifukuzwa/ukikimbizwa na simba, katika kukimbia kwako ukatumbukia kwenye shimo, ndani ya shimo hilo ukakutana uso kwa uso na kipande cha almasi ya kilo moja!!!! Kwa njia hiyo ukajipata umekuwa tajiri mkubwa!!!
USIPOWAHESHIMU SIMBA UKABAKI UNAUTUKUZA UTAJIRI WEWE UTAKUWA MIONGONI MWA WAJINGA WA KUSOMEA (UMESOMEA UJINGA)
zaidi?Watoto msipende kuwasikiliza sana mama zenu hamuwezi jua nini kiliwatenganisha.....ni bora tu mondi ajitoe ufahamu amsaidie alafu huyu mzee malipo yake yawe kwa mungu.mwenyewe kwani yeye ndiye anayejua
Mwangalieni kanumba Naye alikuwa na kisasi kama mondi tu
LAKINI hata yeye alikufa na akamwacha baba yake na kinyongo chake moyoni...jiulizeniiii