Maskini Baba Diamond, azidiwa ghafla

Maskini Baba Diamond, azidiwa ghafla

STEVEN CHARLES KANUMBA NAYE ALIKUWA HIVI HIVI
JIULIZENI YUPO WAPI SAIVI?
NI HERI MTU USAMEHE TU THEN UMUACHIE MUNGU ATOE HUKUMU MWENYEWE
 
Kweli kabisa, ugomvi wa baba na mama haukuhusu mtoto! Ninachokiona ni kuwa Diamond kubebeshwa mbegu ya chuki na mama yake ili amchukie baba yake na ndivyo ilivyo kwa wanawake wengi wasio na elimu na washamba! Baba atabaki kuwa baba regardless ni makosa mangapi aliofanya nyuma, ukishakuwa mwanaume mtu mzima you have to learn to understand things but sioni Diamond akifanya hilo ilihali baba yake alishaonyesha kujuta kwa makosa yake. Huwezi kumsamehe mtu na bado ukaendelea kuwa na kinyongo nae...Haiwezekani!!!
Liwe fundisho kwa sperm donors wote
 
UGOMVI WA BABA NA MAMA YAKO HAUKUUSU
NDIO MAANA NIMEWAPA MCANO WA HUYO KANUMBA NA USTAR WOTE HULE UPEDESHEE WOTE ULE NAYE ALIJAZWA SUMU NA MAMA YAKE HIVYO HIVYO MWISHO WASIKU AMEONDOKA NA KINYONGO CHAKE
JIULIZENI HUKO ANAJIBU NINI?
KITENDO CHA BABA YAKO KUMUTOA KIUNONI NI KIKUBWA SANA NA HUWEZI JUA WALIACHANA VIPI SO UGOMVI WAO WAACHIE WENYEWE
 
UGOMVI WA BABA NA MAMA YAKO HAUKUUSU
NDIO MAANA NIMEWAPA MfANO WA HUYO KANUMBA NA USTAR WOTE HULE UPEDESHEE WOTE ULE NAYE ALIJAZWA SUMU NA MAMA YAKE HIVYO HIVYO MWISHO WASIKU AMEONDOKA NA KINYONGO CHAKE
JIULIZENI HUKO ANAJIBU NINI?
KITENDO CHA BABA YAKO KUMUTOA KIUNONI NI KIKUBWA SANA NA HUWEZI JUA WALIACHANA VIPI SO UGOMVI WAO WAACHIE WENYEWE
 
Mr diamond hujawahi au sijawahi kukuona na kosa lkn hili nakuomba unipigie tuzungumze kwenye namba zangu za voda ni mm Yusu mshapiki wako damu damu 0767844616
 
Huko ni kutaka kumdhalilsha 2 diamond nyie waandshi hamuonagi kuandika watu wengine tafaut na star hyo kisa ana hela
 
Huna uelewa wa kutosha kujua ni kipi cha kukichukia, ipo siku utapata uelewa huo kwa kuijua kanuni
kanuni ipi unazungumzia?!wewe ujapitia maisha ya namna hii unaweza sema chochote ila hakuna kitu kibaya kwa mtoto kama unashindwa kula,huna nguo za kuvaa,mnahama hama kwa ndugu mkisimangwa alafu baba yako yupo mzima na nguvu zake mjini humu humu akitanua na vimada.

Sikia hivi hivi kwa watu tukikupa simulizi hawa wazee kavu sana..huwezi kutaka kuvuna kwenye shamba ambalo ukulipanda
 
Huyu mzee ana tatizo....kama alikuwa na upendo wa kweli kwa mwanae asingeenda magazetini....ni mtaka fursa tu....no "wanda" aliwatelekeza....ndio avune alichopanda sasa

Wengi wanadhani watatelekeza tu watoto halafu wale matunda uzeeni... hakuna hiyo.

Hamna upendo hamna bond nani amsaidie?? Akale ugali na aliyechuma nae mboga sasa
 
STEVEN CHARLES KANUMBA NAYE ALIKUWA HIVI HIVI
JIULIZENI YUPO WAPI SAIVI?
NI HERI MTU USAMEHE TU THEN UMUACHIE MUNGU ATOE HUKUMU MWENYEWE
Usitakae tulione hili tatizo kwa mtazamo wako wewe.

Diamond ameshamsamehe Dingi yake, na kinachotokea ndio hukumu ya Sir God kwa Dingi.
 
kanuni ipi unazungumzia?!wewe ujapitia maisha ya namna hii unaweza sema chochote ila hakuna kitu kibaya kwa mtoto kama unashindwa kula,huna nguo za kuvaa,mnahama hama kwa ndugu mkisimangwa alafu baba yako yupo mzima na nguvu zake mjini humu humu akitanua na vimada.

Sikia hivi hivi kwa watu tukikupa simulizi hawa wazee kavu sana..huwezi kutaka kuvuna kwenye shamba ambalo ukulipanda
Ukifukuzwa/ukikimbizwa na simba, katika kukimbia kwako ukatumbukia kwenye shimo, ndani ya shimo hilo ukakutana uso kwa uso na kipande cha almasi ya kilo moja!!!! Kwa njia hiyo ukajipata umekuwa tajiri mkubwa!!!

USIPOWAHESHIMU SIMBA UKABAKI UNAUTUKUZA UTAJIRI WEWE UTAKUWA MIONGONI MWA WAJINGA WA KUSOMEA (UMESOMEA UJINGA)
 
Chanzo cha habari kikiwa magazeti pendwa basi habari hiyo kwangu inakosa nafasi yaani mpaka leo gazeti likiandika JPM ni raisi wa Tz bado siwaamini mpaka nikajiridhishe na chanzo sahihi.
 
Mama zetu ni driver wazuri na Guider bora kabisa wa kutuongoza hilo analofanya daimond sio kwamba ni maamuzi yake hapana mama yake aliyefikisha hapo ndio bado anamuongoza, mzee aache kuita media na kutafuta attention ili jamii imchukulie Diamond sio aache kabisa daimond hajui yaliyotokea mama yake ndo anamuongoza hawezi kumkana mama yake eti amfate mzee Hapo ni Big NOOO
 
Ukifukuzwa/ukikimbizwa na simba, katika kukimbia kwako ukatumbukia kwenye shimo, ndani ya shimo hilo ukakutana uso kwa uso na kipande cha almasi ya kilo moja!!!! Kwa njia hiyo ukajipata umekuwa tajiri mkubwa!!!

USIPOWAHESHIMU SIMBA UKABAKI UNAUTUKUZA UTAJIRI WEWE UTAKUWA MIONGONI MWA WAJINGA WA KUSOMEA (UMESOMEA UJINGA)

Usilazimishe mambo yaonekane unavyofikiria wewe,

Queen Darleen amepata malezi ya babaake lakini bado akawa mwanamziki hata kabla ya Diamond kutoka.. Suala la Sanaa kama lipo damuni lipo tu na sio kama huyo babaake angemlea Diamond asingekuwa msanii, cha zaidi angemlea labda angemuongezea vidato tu awe kama wakina FA au Ben pol wamesoma afu wanamuziki..

Hapa wa kupewa shukrani ni mamaake maana licha ya malezi ya kawaida, yeye ndio alikuwa anampa kila support kuendeleza kipaji chake kumpeleka matamasha ya watoto aende kuperform, hadi kuja kuwa meneja wake wakati ameanza mziki kama underground, hadi hivi sasa dogo hanaga matumizi mabaya sana ya pesa kwa mchango pia wa mamaake kama msimamiaji wa miradi ya kimaendeleo yote ukiachana na mziki..
 
Kwani Katie ya radii ya mama name ya baba ipi kali
Watoto msipende kuwasikiliza sana mama zenu hamuwezi jua nini kiliwatenganisha.....ni bora tu mondi ajitoe ufahamu amsaidie alafu huyu mzee malipo yake yawe kwa mungu.mwenyewe kwani yeye ndiye anayejua
Mwangalieni kanumba Naye alikuwa na kisasi kama mondi tu
LAKINI hata yeye alikufa na akamwacha baba yake na kinyongo chake moyoni...jiulizeniiii
zaidi?
Huyo baba alimkataa Diamond toka mtoto. I weje Leo ndio amended. Piano Kwani hana watoto wengine zaidi ya Diamond? Wenyewe no kama kuna radhi itawapata au? Mbona wao hamuwaandiki magazetini?
 
Na amwache Diamond na maisha yake kama alivyomkana!!
Angekuwa Nassib yule yule wa mbagala na si Diamond wa leo angekuwa anaenda magazetini kila siku??
 
Back
Top Bottom