Maskini hana aibu, kimbia ukiona hivi

Maskini hana aibu, kimbia ukiona hivi

Huyo mwanamke alikua hatoki ? Why mapema aingize tamaa hata aibu haoni ni sawa na Una mtu hachangii lolote kwako yeye yupo Tu , hata zawadi hakupi lakini wewe kila Leo unampa zawadi achana nae Hana future huyo
Nilidhani nimekuelewesha kumbe bado! Nimekwambia ni mzunguko uliokwishatengenezwa miaka ya nyuma hivyo kila mmoja anahisi mwenzake anamtumia mwezake.
 
Angekuja mchafu mchafu pia ungelalamika. Kama vipi achana na broke girls tafuta ambao wameshajipata tayari halafu uje hapa kuleta mrejesho
Oyaa 🤣🤣 sometimes wadada waliojipata ndo wabaya zaidi kwenye vizinga kuliko broke girls, mdada ana kazi, mna mshahara sawa, mna mwezi tu tangu mfahamiane, ila bado anakuomba hela 🤣🤣 Demi
 
Halafu hua mnawaendekeza ukumbuke mwanamke anaweza kua proud na pesa ya mtu asiyemihusu au cheo cha mtu ambaye hamuhusu akihisi yuko salama kumbe wanamcheck Tu na ujinga wake , wanawake hawa ambao ukimpa lift anakuvulia nguo ndio ujiumize kichwa unakua boya sasa
 
Oyaa 🤣🤣 sometimes wadada waliojipata ndo wabaya zaidi kwenye vizinga kuliko broke girls, mdada ana kazi, mna mshahara sawa, mna mwezi tu tangu mfahamiane, ila bado anakuomba hela 🤣🤣 Demi
Hao ndio watamu sasa....
 
Nilidhani nimekuelewesha kumbe bado! Nimekwambia ni mzunguko uliokwishatengenezwa miaka ya nyuma hivyo kila mmoja anahisi mwenzake anamtumia mwezake.
Cha kuelewa tamaa kwa sasa na kutaka mafanikio ya haraka imewajaa ndio maana Wana bei ukifika bei unachukua muda wowote, hilo ulielewe na usikae ukawatetea ukadhani Wana akili kiasi hicho No
 
Jamaa nawaza kwa kina , tamaa ya ghafla ya huyo mtu wake inaletwa na nini?
Ipo wazi mkuu. Kama wewe ni broke just deal na broke zaidi yako yaani yule unamuhadaa kwa chips yao tayari ushakula mzigo.
Wanawake wengi watakuomba pesa tu utake usitake. So ni uamuzi wako utoe pesa ili upate utakacho au upotezee.
Ukute wewe pia nia yako ni kula tu na kusepa ulitaka dada wa watu ajitoe mwili na roho kwa mtu kama wewe?

Ukutaka kumtoa out mdada..mpe hela mwambie jiandae tukoke out. Mtu hata humjui vizuri unajuaje kama hata anavyo viatu vya kutoka hiyo out. Ukute ana malapa tu maskini. Ukishaleta mambo ya kutoana out toa pesa mkuu.

kama vipi tumia njia nyingine ya kumpata achana na kumtoa out.
 
Nilitaka nikusapoti ila nikamtazama binti yangu hapa nyumbani kitu kikaniambia sasa kijana kama wewe ukitaka kumnyandua atatoa wapi pesa za kukuletea umnyandue zaidi ya kunifata mimi baba yake? Jibu nililowaza nimeamua nisilitoe.
 
Oyaa 🤣🤣 sometimes wadada waliojipata ndo wabaya zaidi kwenye vizinga kuliko broke girls, mdada ana kazi, mna mshahara sawa, mna mwezi tu tangu mfahamiane, ila bado anakuomba hela 🤣🤣 Demi
Hilo nalitambua😅😅 ndo namwambia huyu jamaa akajaribu huko halafu atuletee mrejesho🤣🤣
 
Oyaa 🤣🤣 sometimes wadada waliojipata ndo wabaya zaidi kwenye vizinga kuliko broke girls, mdada ana kazi, mna mshahara sawa, mna mwezi tu tangu mfahamiane, ila bado anakuomba hela 🤣🤣 Demi
Mwanamke ni mbinafsi kiasili na hata awe na kazi analipwa bei gani na akaunti yake inakiasi gani bado atataka apate kidogo chako kwa sababu hesabu ya mwanamke ni kujumlisha na kuongeza tu sio kutoa ndio maana wakaongeza kope, kucha, makalio , matiti wao huwaza kuongeza na sio kutoa so usimuulize pesa yake mwanamke mtagombana wao Chao ni chao na chenu ni cha wote , ndio maana sababu utampa bila maandishi mwisho wa siku anakueleza haujafanya lolote au hakukulazimisha kufanya na story huishia hapo unakua umepoteza wewe so akili yako iwe mbele yake
 
Tusipolazimisha hawatoi. Tunawafundisha kwa lazima na hela wanatoa kwa lazima.
Unajua sometimes kama mwanaume, ni bora ukampa hela mdada ambae unajua she is broke & hana kazi hata kama amekupiga kizinga wiki 2 tangu muonane, unafanya kama kumsaidia tu.

Kuna hawa wadada nashindwa kuwaelewa, mtu mnalingana mshahara pengine kakuzidi mshahara, ila bado anakupiga kizinga siku 2 baada ya mshahara wake kutoka 🤣🤣na mna mwezi tangu mjuane, halafu imagine hapo anategemea umuoe/aolewe. Mimi nlipata wa ivo nkamkimbia nikajisemea huenda mm sio type yake, au kuna mahali ana shida ya kisaikolojia, Cha ajabu wadada wengi wanaopiga vizinga wengi ni wachoyo balaaa, anachokuomba wewe, mfano kakuomba biskuti, ukimuomba yeye akununulie biskuti ya 500 hawezi kukupa ilhali ni kizawadi kidogo Hannah
 
Ipo wazi mkuu. Kama wewe ni broke just deal na broke zaidi yako yaani yule unamuhadaa kwa chips yao tayari ushakula mzigo.
Wanawake wengi watakuomba pesa tu utake usitake. So ni uamuzi wako utoe pesa ili upate utakacho au upotezee.
Ukute wewe pua nia yako ni kula tu na kusepa ulitaka dada wa watu ajitoe mwili na roho kwa mtu kama wewe?

Ukutaka kumtoa out mdada..mpe hela mwambie jiandae tukoke out. Mtu hata humjui vizuri unajuaje kama hata anavyo viatu vya kutoka hiyo out. Ukute ana malapa tu maskini. Ukishaleta mambo ya kutoana out toa pesa mkuu.

kama vipi tumia njia nyingine ya kumpata achana na kumtoa out.
Huyo amekueleza alitaka mke , wale wa kupita nao tunatoa kiasi chochote na hatudum nao maana Ile tamaa dhidi yake imeisha na ndio maana mnageuzwa kama daladala sio bahati mbaya ni makusudi , mwanaume akisense tamaa dhidi yako tajitahid akuingize line akishapiga hauna jipya unakua used kwake ndio dunia ilivo anamwachia mpitaji mwingine nae apite kama kawaida maana unakua chombo cha starehe Tu hapa duniani
 
Ila hela ya kwenda kufumania mnaipataga wapi?
 
Unajua sometimes kama mwanaume, ni bora ukampa hela mdada ambae unajua she is broke & hana kazi hata kama amekupiga kizinga wiki 2 tangu muonane, unafanya kama kumsaidia tu.

Kuna hawa wadada nashindwa kuwaelewa, mtu mnalingana mshahara pengine kakuzidi mshahara, ila bado anakupiga kizinga siku 2 baada ya mshahara wake kutoka 🤣🤣na mna mwezi tangu mjuane, halafu imagine hapo anategemea umuoe/aolewe. Mimi nlipata wa ivo nkamkimbia nikajisemea huenda mm sio type yake, au kuna mahali ana shida ya kisaikolojia, Cha ajabu wadada wengi wanaopiga vizinga wengi ni wachoyo balaaa, anachokuomba wewe, mfano kakuomba biskuti, ukimuomba yeye akununulie biskuti ya 500 hawezi kukupa ilhali ni kizawadi kidogo Hannah
Ndio maana ukiambiwa ishi nao kwa akili nanusiwaamini ni watu waliojawa tamaa kiasili hawaridhiki anaweza kutoa hadi machozi kua anashida ilihali akaunti yake ina pesa nyingi Tu , hao wakikutana na wakongwe hupewa somo mujarabu la kukumbukwa maisha yao yote
 
Cha kuelewa tamaa kwa sasa na kutaka mafanikio ya haraka imewajaa ndio maana Wana bei ukifika bei unachukua muda wowote, hilo ulielewe na usikae ukawatetea ukadhani Wana akili kiasi hicho No
Mimi sijawatetea kwa sababu sina uwezo wa kuwatetea. Wao ndiyo hujitetea wenyewe na ndiyo maana wanaume hawaishi kulalama.
 
Huyo amekueleza alitaka mke , wale wa kupita nao tunatoa kiasi chochote na hatudum nao maana Ile tamaa dhidi yake imeisha na ndio maana mnageuzwa kama daladala sio bahati mbaya ni makusudi , mwanaume akisense tamaa dhidi yako tajitahid akuingize line akishapiga hauna jipya unakua used kwake ndio dunia ilivo anamwachia mpitaji mwingine nae apite kama kawaida maana unakua chombo cha starehe Tu hapa duniani
Huwezi sema unataka mke wakati ndo kwanza mnaanza kujuana.
Na dada wa watu anataka mwanaume ambae anaweza kumhudumia hata kwa kiasi kidogo. Ndo kipimo hicho anakupa.
 
Back
Top Bottom