Damaso
JF-Expert Member
- Jul 18, 2018
- 3,978
- 6,739
- Thread starter
- #241
Nimekuelewa vyema Mkuu! Lakini wanawake wana urahisi zaidi linapokuja suala la kuondolea upwiru maana ni asili ya wanaume kutokuomba pesa ili aondokane na upwiru! Hapo mwanamke anatolewa upwiru na pesa atapewa 😃Ni suala la demand and Supply siyo hisia au nyege.
Wakati mwanamke ana nyege akiomba atatuliwe shida zake demand ipoje na wakati wewe una minyege ukataka utatuliwe shida zako demand ipoje?
Kama unajua kujumlisha na kutoa nadhani jibu unalo boss.
Hii dunia imekuwa ya kijinga sana