Maskini hana aibu, kimbia ukiona hivi

Maskini hana aibu, kimbia ukiona hivi

Pole itolewe kwa jamii yote maana hata wa kiume nao wapo hatarini.

Uzuri wakati tunawafumua marinda kwa kutumia vijisenti vyetu tunajiharibia wenyewe maana wajukuu zetu watalelewa na wafirwaji.

Au unadhani mwanao mkewe hatotinduliwa marinda?
Aisee 😔
 
Swali la msingi: Je kabla ya kukutana na mwanaume, huyu mwanamke alikuwa ana-survive namna gani!?
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Aisee 😔
Mkuu, Wote tupo kwenye chungu kimoja, mzunguko ni ule ule, network ni moja. Mchepuko wako anaweza kuwa na mwanaume ambaye mkewe anatembea na mwanaume anayetembea na binti yako. Unadhani ukimwi unasambaaje?
 
Swali la msingi: Je kabla ya kukutana na mwanaume, huyu mwanamke alikuwa ana-survive namna gani!?
Mkuu, ni sawa na kuuliza kabla ya kukata tiketi huu usafiri ulikuwa unampakiza nani? Abiria wapo tu. Labda wote wagome wawe kitu kimoja. Otherwise wewe utaacha mwenzako atakata.
 
Mkuu, Wote tupo kwenye chungu kimoja, mzunguko ni ule ule, network ni moja. Mchepuko wako anaweza kuwa na mwanaume ambaye mkewe anatembea na mwanaume anayetembea na binti yako. Unadhani ukimwi unasambaaje?
Daah aisee unaweza kukuta demu wa mshikaji wako anatembea na serengeti boy wa bi mkubwa 😃 *****
 
Mkuu, ni sawa na kuuliza kabla ya kukata tiketi huu usafiri ulikuwa unampakiza nani? Abiria wapo tu. Labda wote wagome wawe kitu kimoja. Otherwise wewe utaacha mwenzako atakata.
Kama ndo hivyo mtu asiingie kwenye rileshenishipu akiwa na too much expectations 😃 maisha yaendelee ila ukipata wife material sehemu unajitoa kiaina tu!
 
K hata kama ukapiga kumi kwa siku ukiamka kesho yake una hesabu hasara tu. Hakunaga faida.

Wazee wengi wako Broke na wa aanza kulalama kutaka kulaani watoto wakati walitumia ujana wao vibaya.
Hii uhakika kaka nimeibeba kama ilivyo
 
Mshahara wa mtu miezi miwili huo,aisee wewe unapaswa ujitathmini.

Tanzania hii hakuna mwanamke wa kula laki nne ndani ya week mbili labda mama mzazi,au mzee ulichangia kodi nini?ukajua utapunguza gharama za lodge,ngoja siku uende umkute mwenzako kajifunga taulo sijui utapigana maana hata kwao sidhani kama wanakujua.
Hata sijachangia kodi mkuu na huwa simpeleki lodge anakuja kwangu siku zote sema ndio vile matumizi yake ni mengo
 
Matajiri hawatumii pesa hovyo kama wengi wanavyozani ukiona tajiri anahonga ujue pesa hiyo imeshaandaliwa unaenda kimahesabu
H

Ha ha ha , matajiri hawahesabu , anatoa tu hata kabla yakwenda dinner anakwambia hiyo ni yamaandalizi ya kutoka na mie, sasa hizi pesa zakudunduliza Kisha kumtoa mrembo dinner wapi na wapi!
 
Umemaliza mkuu, mi ndo formula yangu, mwanamke akianza habari za nauli story zinaishia hapo!

Kuna mmoja aliomba mpaka hela ya kushona nguo ili tutoke, na siku yenyewe ya kutoka eti anakuja na rafiki yake!
Alafu wee mkuu..
Si kule umetoa ushuhuda au sio wewe
 
Back
Top Bottom