Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 19,644
- 40,546
Kuna uzi nimeona sijui ni wewe umetoa ushuhudaWapi mkuu!? Mbona sijatoa ushuhuda wowote?
Ushuhuda: Mkojo wangu wa asubuhi ulivoniponya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna uzi nimeona sijui ni wewe umetoa ushuhudaWapi mkuu!? Mbona sijatoa ushuhuda wowote?
Kuna uzi nimeona sijui ni wewe umetoa ushuhuda
Ushuhuda: Mkojo wangu wa asubuhi ulivoniponya
Kuna mtu ana I'd ya kufanana na weqw basi maana nimeshangaa kweli kweliHa ha mkuu sio mimi kaangalie vizuri!
Soma tena alichoandika kabla ya kuhalalisha umaskini kwenye mahusianoUnamtafuta kwa shida zako, naye anakupokea kwa shida zake.
1 - 1 Full time
Shida unaenda kuzisakanyua wewe mwenyewe; kwa hiyo pambana na hali yako.
Unazani sikuelewa ? Kwani kabla yakuja so kunà vitu lazima ajiandaye? Kwahiyo elf 8 uliona ni nyingi saana si ungemwambia tu kuna kitu gani kinakosekana, ukaamua kuzirudisha , unaweza mnunulia simu kweli ya laki 5? Halafu siku mbili anakusumbua ?🤣🤣🤣Umeelewa nilicho andika mkuu? nilimtumia nauli 35,000 akitoa lazima angebaki na 32000 akasema ni ndgo sana hiyo nauli maana nauli kwenye gari ilikuwa 20,000 boda kwenda stend 2000 ten ya maji akasema ndogo nikarudisha muamala chaaaap
Hana bikira halafu ni mnunulie simu ya laki5 ? Nikifikia stage hiyo nipelekwe milembeUnazani sikuelewa ? Kwani kabla yakuja so kunà vitu lazima ajiandaye? Kwahiyo elf 8 uliona ni nyingi saana si ungemwambia tu kuna kitu gani kinakosekana, ukaamua kuzirudisha , unaweza mnunulia simu kweli ya laki 5? Halafu siku mbili anakisumbua ?🤣🤣🤣
Ukishamwaga tu unalala kidogo ukiamka mawazo yanaanza.Akili ndiyo inarudi sasa
Wakina naniWanakuita we jamaa
Kwani tajiri lazima awe kama mo au vunjabei ? Hapana, kuna watu wanamaiaha yao tu na hawana makelele mpaka umemualika mtu basi umejiandaa!Matajiri hawatumii pesa hovyo kama wengi wanavyozani ukiona tajiri anahonga ujue pesa hiyo imeshaandaliwa unaenda kimahesabu
Sasa kama hana unamfuata wanini ? Tafuta mwenye nayo ili ukidhi vigezo, halafu ukiwa na pesa lazima utafute wakutumia nawe, shida ni pale pesa zakuunga unga mtihani huanzia hapo, uwe na jioni njema.Hana bikira halafu ni mnunulie simu ya laki5 ? Nikifikia stage hiyo nipelekwe milembe
Sijajua ila kuna mtu anasema na wewe ni miongoni mwa waliotoa ushuhuda hukuWakina nani
Uzushi huoSijajua ila kuna mtu anasema na wewe ni miongoni mwa waliotoa ushuhuda huku
Ushuhuda: Mkojo wangu wa asubuhi ulivoniponya
Pesa ni pesa iwe ya kuunga unga,ku losti,ama kuchemsha supu zote pesa. Kinachotutofautisha ni namna ya kuzitumia tu. Kama mnajiuza mwe mna sema dau mapema tu siyo kuzunguka mbuyu bure. asubuhi njemaSasa kama hana unamfuata wanini ? Tafuta mwenye nayo ili ukidhi vigezo, halafu ukiwa na pesa lazima utafute wakutumia nawe, shida ni pale pesa zakuunga unga mtihani huanzia hapo, uwe na jioni njema.
Sijajua ila ndo wamekuita mkuu sa sijui unahusika vipi hapaUzushi huo
Nitag huo uziSijajua ila ndo wamekuita mkuu sa sijui unahusika vipi hapa
Sawa mkuuNitag huo uzi
Poapoa.Sawa mkuu
CheersUnamtafuta kwa shida zako, naye anakupokea kwa shida zake.
1 - 1 Full time
Shida unaenda kuzisakanyua wewe mwenyewe; kwa hiyo pambana na hali yako.