Maskini hana aibu, kimbia ukiona hivi

Maskini hana aibu, kimbia ukiona hivi

Umeelewa nilicho andika mkuu? nilimtumia nauli 35,000 akitoa lazima angebaki na 32000 akasema ni ndgo sana hiyo nauli maana nauli kwenye gari ilikuwa 20,000 boda kwenda stend 2000 ten ya maji akasema ndogo nikarudisha muamala chaaaap
Unazani sikuelewa ? Kwani kabla yakuja so kunà vitu lazima ajiandaye? Kwahiyo elf 8 uliona ni nyingi saana si ungemwambia tu kuna kitu gani kinakosekana, ukaamua kuzirudisha , unaweza mnunulia simu kweli ya laki 5? Halafu siku mbili anakusumbua ?🤣🤣🤣
 
Unazani sikuelewa ? Kwani kabla yakuja so kunà vitu lazima ajiandaye? Kwahiyo elf 8 uliona ni nyingi saana si ungemwambia tu kuna kitu gani kinakosekana, ukaamua kuzirudisha , unaweza mnunulia simu kweli ya laki 5? Halafu siku mbili anakisumbua ?🤣🤣🤣
Hana bikira halafu ni mnunulie simu ya laki5 ? Nikifikia stage hiyo nipelekwe milembe
 
Wanawake watuambie, kwani hamuoni aibu kutanguliza njaa kwa mtu ambaye ndio just unamjua?

Hamuoni hii inawashushia hadhi pia nafasi yako kwenye penzi!

Trust me mwanaume anayevumilia hilo kaamanua kuvumilia ili akugonge apotee!
 
Akili ndiyo inarudi sasa
Ukishamwaga tu unalala kidogo ukiamka mawazo yanaanza.
1. Hana ukimwi kweli
2. Vipi magonjwa mengine
3. Gharama za Hotel, chakula na usafiri.

Unajikuta umeshakata laki tatu chaap. Mpaka aondoke sita zimeondoka......huu ni mtaji mkubwa wa biashara

Ukiangalia game yenyewe mbovu hata kama ingekuwa kali lakini huna ulichogain zaidi ya ku Loose
 
Matajiri hawatumii pesa hovyo kama wengi wanavyozani ukiona tajiri anahonga ujue pesa hiyo imeshaandaliwa unaenda kimahesabu
Kwani tajiri lazima awe kama mo au vunjabei ? Hapana, kuna watu wanamaiaha yao tu na hawana makelele mpaka umemualika mtu basi umejiandaa!
 
Sasa kama hana unamfuata wanini ? Tafuta mwenye nayo ili ukidhi vigezo, halafu ukiwa na pesa lazima utafute wakutumia nawe, shida ni pale pesa zakuunga unga mtihani huanzia hapo, uwe na jioni njema.
Pesa ni pesa iwe ya kuunga unga,ku losti,ama kuchemsha supu zote pesa. Kinachotutofautisha ni namna ya kuzitumia tu. Kama mnajiuza mwe mna sema dau mapema tu siyo kuzunguka mbuyu bure. asubuhi njema
 
Back
Top Bottom