Big L
JF-Expert Member
- Nov 21, 2022
- 502
- 820
Hahaha.. Watu kama mtoa mada huwa wanakuta mtu ana RUNGU kisha yeye ndiyo anakuwa chakula!Akili finyu wewe mbona ndo wa kwanza kumuomba mtoko? Yeye akiomba maskini wewe ukiomba una akili we ndo maskini, mwanamke kama mwanaume hawezi kukuhudimia mkimbie,, hayo mambo kama huyawezi waachie wenyewe katafte pesa, umtie shombo sabuni manukato anunue mwenyewe, tafuta watoto wenzako mkacheze