Maskini hana aibu, kimbia ukiona hivi

Maskini hana aibu, kimbia ukiona hivi

Akili finyu wewe mbona ndo wa kwanza kumuomba mtoko? Yeye akiomba maskini wewe ukiomba una akili we ndo maskini, mwanamke kama mwanaume hawezi kukuhudimia mkimbie,, hayo mambo kama huyawezi waachie wenyewe katafte pesa, umtie shombo sabuni manukato anunue mwenyewe, tafuta watoto wenzako mkacheze
Hahaha.. Watu kama mtoa mada huwa wanakuta mtu ana RUNGU kisha yeye ndiyo anakuwa chakula!
 
Screenshot_20241215-195235.png
 
Sasa kama hana unamfuata wanini ? Tafuta mwenye nayo ili ukidhi vigezo, halafu ukiwa na pesa lazima utafute wakutumia nawe, shida ni pale pesa zakuunga unga mtihani huanzia hapo, uwe na jioni njema.
Wewe kwenye mahusiano una mpa nn mwanaume zaidi ya sex ambayo wote mnaitaka..? Mkiitwa malaya mnasema hatuwaheshimu.
 
Pesa ni pesa iwe ya kuunga unga,ku losti,ama kuchemsha supu zote pesa. Kinachotutofautisha ni namna ya kuzitumia tu. Kama mnajiuza mwe na sema dau mapema tu siyo kuzunguka mbuyu bure. asubuhi njema
Anauza huyo mkuu. Usipate tabu. Demu akishaanza mada za kuhudumiwa kutake care sijui support tupa kule anakuletea shida zake kwan hana wazazi wake. Tutahudumia wake zetu sio madanga
 
Back
Top Bottom