Nimekuelewa vyema Mkuu! Lakini wanawake wana urahisi zaidi linapokuja suala la kuondolea upwiru maana ni asili ya wanaume kutokuomba pesa ili aondokane na upwiru! Hapo mwanamke anatolewa upwiru na pesa atapewa 😃Ni suala la demand and Supply siyo hisia au nyege.
Wakati mwanamke ana nyege akiomba atatuliwe shida zake demand ipoje na wakati wewe una minyege ukataka utatuliwe shida zako demand ipoje?
Kama unajua kujumlisha na kutoa nadhani jibu unalo boss.
Wanawake wote amabao wanatoa utelezi pasipo kuolewa unue wazazi wao ndio wajinga.Mm nina binti zangu nyumbani hapa. Natamani sana wapate watu sahihi wafunge ndoa nibebe wajukuu ila ikitokea wakaamua kutoa utelezi kwa mzabzab bila ndoa sawa tu lakini huyo mzabzab ndo agharamie huo utelezi sio mimi baba yao. Au akiamua kujigharamia ili ato$$$%we bure basi asubiri akishahama kwangu akapata kazi yake atoe bure atakavyo.
Kha! Hawana aibu hawa. Ila nilishajua ukiona hivyo ujue huyo mwanamke ana option nyingine alikuwa anajaribu kpata extra kutoka kwako pia.Kuna mademu hawana aibu..ni nusu mtu nusu shetani. Kuna mmoja kaniomba nimuongezee million sita akanunue gari,nikamuuliza ana kiasi gani bank akabaki anajiumauma midomo😀😀.
Sijui alinichukuliaje yule boya?
Hii nimependa.😍😍😍😍 Nitamuonyesha binti yanguIkija kufika year 2030 vitoto vingi vya 2000s View attachment 3176879
Upo sawa ila mkuu mzazi unafanya sehemu yako na binti anafanya sehemu yake, kuna umri akifika mzazi huna tena control, ni IQ ya binti ndo inafanya kazi. Mfano, yupo chuo, ana nyege zake mwili unawaka moto, kakutana na mzabzab, unadhani hapo mzazi unaweza fanya lolote? Hapo ni IQ ya mtoto ndo itajumlisha na kutoa mzazi ulishamaliza sehemu yako.Wanawake wote amabao wanatoa utelezi pasipo kuolewa unue wazazi wao ndio wajinga.
Kama wewe utalea watoto wako vizurintrust me watakiheshimu na wataondoka hapo kwako wakiwa wanaenda kwa waume zao.
Hana za kutokea out. Na nywele zimefumukaUmejuaje ??Mfano mtu ni mfanyakazi wa Taasisi X ,Na ni Last born hana shida ndogondogo unataka apewe Hela ya Nn?Hela ya Nguo ya Nn,Nguo hana?
Muwaonee huruma watoto wa wanawake wenzenu jamani! Ndani ya siku saba tayari Mjomba amefariki, unataka rambirambi, simu imepasuka kioo, system charge imekufa, kodi imeisha! Duuh mpaka Mzee baba Devil anatuonea huruma 😔Hana za kutokea out. Na nywele zimefumuka
Usipeleke lawama kwa mtoto bwana.Upo sawa ila mkuu mzazi unafanya sehemu yako na binti anafanya sehemu yake, kuna umri akifika mzazi huna tena control, ni IQ ya binti ndo inafanya kazi. Mfano, yupo chuo, ana nyege zake mwili unawaka moto, kakutana na mzabzab, unadhani hapo mzazi unaweza fanya lolote? Hapo ni IQ ya mtoto ndo itajumlisha na kutoa mzazi ulishamaliza sehemu yako.
Demu hana kazi anamikiki iphone 🤣🤣🤣😭Muwaonee huruma watoto wa wanawake wenzenu jamani! Ndani ya siku saba tayari Mjomba amefariki, unataka rambirambi, simu imepasuka kioo, system charge imekufa, kodi imeisha! Duuh mpaka Mzee baba Devil anatuonea huruma 😔
🤣🤣🤣Hii ndio kazi yangu. Hapa nime enjoy sana kabla sijalala nimemfundisha kijana mmoja bahili.
Hapana, silaumu mtoto, binti zangu bado hawajaniangusha ila naelewa kuna umri mzazi huna control tena na unapaswa kuacha IQ ya binti ndo ifanye kazi, ukiingilia unaharibu. Japo usiache kushauri.Usipeleke lawama kwa mtoto bwana.
Wee kama umeshindwa kulea sema ila usije sema shida ni mtoto.
Mbona huko afghanistan inawezekana. Mabinti wanaolewa wakiwa kitu sealed kwa nini wewe ushindwe?
Hana kwani kazi anafanyia chumbani,Nywele kufumuka sio kitu cha muhimu abane tu kama JumongHana za kutokea out. Na nywele zimefumuka
Only fools ndo watakubali huo upuuziAisee yan hawa wanawake sio,nowdays wanachoangalia wao ni pesa tu kwenye mahusiano..yeye binafsi hana anachokupa zaid ya tako na K ila yey atataka umnunulie simu,ulipe kodi sijui saloon yan usenge mtupu..hapo bado mkitoka out show nzima usimamie wew kuanzia chakula mpaka vinywaji,na vinywaji vyao ni Savannah,windhoek,disperado,heineken mara Four cousin wkat msela hapo unashushia konyagi ndogo...bado ukienda nae geto kumkaza umpe hela ya nauli...dah huu ni usenge jazband
Mbona wakipewa hivyo vitu wanapokea na mzigo wanatoaHiyo ni style tu ya kukataliwa.
Hapo unaachia ngazi mwenyewe tena bila kelele😃😃
Huwa mnaamini mwanamke hana viatu nauli hadi umpe??
Mwanamke akikupenda na akikuhitaji hizo kelele zote hakuna
Swali zuri sana akikujibu nitagSasa kama lengo ni kumkataa mtu, mbona mkipewa hivyo vitu hamkatai? Kama sio njaa ni nini? Labda tuite ni utapeli!