Maskini hana aibu, kimbia ukiona hivi

πŸ™ŒπŸ˜‚ kumbe wewe ni maskini na ujinga unao??
et single mother πŸ˜‚
So kwako unaona tusi mwenyewe
Mimi ningelikua singlemom ningelikua very proud kama mama yako tu
Kijana acha makasiriko tafuta pesa
Huna soko umekuja kulitafuta huku MMU?
pole aisee ndio dunia lakini.
 
πŸ˜ƒ πŸ˜€ πŸ˜„
 
Hii heading ya "MASKINI HANA AIBU" nimeipenda.

Maana nami yaliwahi kunikuta nikaruka kiunzi, sijui nani alipokea kijiti huko mbele.
 
Umaskini unakusumbua wewe!!
Hela za kutoa huna usingepiga tarambee humu
Ukipenda kubadili mboga uwe na pesa🀣🀣
Hakuna free papuchi
Wawape burebure tu?? πŸ˜‚
Kama hakuna free papuchi basi msikasirike mkiitwa malaya
 
Wewe kwenye mahusiano una mpa nn mwanaume zaidi ya sex ambayo wote mnaitaka..? Mkiitwa malaya mnasema hatuwaheshimu.
Kwani anaye anza kumwitaji mwenzie nani? Yaani mtu anakwambia njoo Kisha nijigharamikie? Kwanini usikae na nanihi zako Kama unaona gharama? Wanaume watakucheka siku nyingine usiongee hivyo! Waoongea hivyo ni watoto wakiume
 
Umemaliza mkuu, mi ndo formula yangu, mwanamke akianza habari za nauli story zinaishia hapo!

Kuna mmoja aliomba mpaka hela ya kushona nguo ili tutoke, na siku yenyewe ya kutoka eti anakuja na rafiki yake!
Huyo atakuja kustuka ana miaka 35
 
Umemaliza mkuu, mi ndo formula yangu, mwanamke akianza habari za nauli story zinaishia hapo!

Kuna mmoja aliomba mpaka hela ya kushona nguo ili tutoke, na siku yenyewe ya kutoka eti anakuja na rafiki yake!
Sisi mabaharia akija na rafiki yake tunaweka ukaribu na rafiki yake hatutaki ujinga kabisa
 
Hizi ni kauli za Kidangaji

Kama ni muuzaji bora ueleweke mapema
 
Yaan mm kumwambia Leo tuonane ndo aanze kaniletea shda zote kuanzia viatu,nguo ,Kodi ya nyuma,luku imeisha Cha kufia nn??
Mata 100 wanaojiuza rodi mguu juu pembeni mwa barabara 15000/ kazi imeishaaa
 
Bush doctor leo umeongea ukweli ambao ss wanaume au watu wote tunajifunika masikio na macho tusione haya ndio majibu
 
Bush doctor leo umeongea ukweli ambao ss wanaume au watu wote tunajifunika masikio na macho tusione haya ndio majibu
Ndio braza. Hata kama ni ka fursa kadogo lakini si ulikapata? Kalikufikisha wapi? Ulikatumia kwa faida? Watu umri ukishaenda ndio wanakumbuka.

Kiukweli kabisa kila mtu wakati wa ujana kuna ka fursa huwa anapata. Ila kanaishia kwenye mambo hayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…