Maskini hana aibu, kimbia ukiona hivi

Afterall this game is all about money these days
 
Akili finyu wewe mbona ndo wa kwanza kumuomba mtoko? Yeye akiomba maskini wewe ukiomba una akili we ndo maskini, mwanamke kama mwanaume hawezi kukuhudimia mkimbie,, hayo mambo kama huyawezi waachie wenyewe katafte pesa, umtie shombo sabuni manukato anunue mwenyewe, tafuta watoto wenzako mkacheze
 
Karibu tena
 
Ungemvua nguo zako

mkuu umemaliza hakika hii ni miongoni mwa thread bora ya mwaka
Wanawake zindukeni mnabembeleza nini kwa wanaume? Mtu akutoe huko mpaka kule nauli Yako chakula juu Yako, utajuaje kama ni mwanaume na si kiben ten? Mtu amekithamini kitu akigharamikie, mkitulia watakuja tu acheni papara.
 
Acha kutetea ombaomba. Ni aibu mtu mwenye mikono miwili, miguu miwili na akili timamu kuwa ombaomba kwa kigezo cha kuumbwa na utelezi.
Unamuona yaani amekaa hawazi.namna ya kujipatia mahitaji anategemea ku exchange mbunye na mahitaji yake,
So asipopata wa kuitaka iyo
Pia kwani yeye sio binadamu kuwa atahitaji mbol000 kweli ama kusema kuwa pia hajampenda huyo mwanaume
 
Ushauri Murua kabisa...Madogo siku hizi ni Kama Manyumbu.
Mtu unaona apa Naibiwa ila umo tu.
 
Mbona unayakimbia majukumu kaka
 
Kuna kuhudumia kwa Mpenzi lakini kuna wizi we Aunt.
Mmejuana wiki moja tayari Ushaomba Kodi, Wigi, Vocha zaidi ya mara 5, Mama anaumwa.
Huo si utapeli midemu ya ivi Wanaume tuikimbie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ