The Worst
JF-Expert Member
- Sep 12, 2021
- 6,108
- 21,140
Mkuu Jaboja mbona umekasirika hivyo?Akili finyu wewe mbona ndo wa kwanza kumuomba mtoko? Yeye akiomba maskini wewe ukiomba una akili we ndo maskini, mwanamke kama mwanaume hawezi kukuhudimia mkimbie,, hayo mambo kama huyawezi waachie wenyewe katafte pesa, umtie shombo sabuni manukato anunue mwenyewe, tafuta watoto wenzako mkacheze
Nachojua mimi haya mambo hayana mwenyewe tunaelekezana tu humu punguza jazba.