Maskini hana aibu, kimbia ukiona hivi

Maskini hana aibu, kimbia ukiona hivi

Kuna mwingine nilimfanyia unyama hatakaa asahau nilimtumia 35k halafu akasema hela gani hiyo nikilipa nauli nabakiwa na 10k hadi dk haikuisha nimerudisha muamala shwaaaaaah. Mara akaanza kulalamika tena oooh ulikuwa unanijaribu tu huna nia na mimi.

Ukweli ni kwamba mwanamke anayetanguliza pesa na mahitaji yake binafisi huyo ni MALAYA. Hujawahi mkuta bikira gharama zooote hizo za nini na ukae ukijua kama ulikuta sheby kapita jua wanakula msululu na wewe upo kwenye foleni ya wateja wake.
 
Kwahiyo unataka aje Kwa kujigharamikia mwenyewe?
 
Ndo maana ukitaka kuoa uchague, ukitaka kuolewa uchague, kwa hiyo wote mko kwenye mizani, ukipimwa wewe kelele, huwezi kugharamia mtoko familia utaiweza?
Ndiyo wale wakumwambia mkewe mama chanja fanya fanya hapo kachume hata matembele Kwa jirani, maji yenyewe wanayomwagia sasa 😀😀😀
 
Sahihi kabisa na hawajawahi wapeleka dada zao na shangazi zao dinner matajiri Hawa.
Kazi kuwasema sema watoto wa watu, dada zao hapana huku wamejaza magaga miguuni, halafu wale wanaosemaga vibaya wanawake au wasichana dada zao huwa wahovyo hovyo kweli.
 
Back
Top Bottom