Maskini hana aibu, kimbia ukiona hivi

Maskini hana aibu, kimbia ukiona hivi

Wanawake zindukeni mnabembeleza nini kwa wanaume? Mtu akutoe huko mpaka kule nauli Yako chakula juu Yako, utajuaje kama ni mwanaume na si kiben ten? Mtu amekithamini kitu akigharamikie, mkitulia watakuja tu acheni papara.
Tatizo unakuta hiyo 'k' imeishagongwa kilometer beyond repair! Kwahiyo unakuwa umepigwa mara mbili yaani gharama na poor quality. Bora uonje ndo ulipie ubora wa bidhaa!
 
Umemaliza mkuu, mi ndo formula yangu, mwanamke akianza habari za nauli story zinaishia hapo!

Kuna mmoja aliomba mpaka hela ya kushona nguo ili tutoke, na siku yenyewe ya kutoka eti anakuja na rafiki yake!
Obvious akishakuomba hela Mwanzoni tu basi jua ana mtu wake wa uhakika hapo anaongezea kipato tu.
 
Maskini mwenyewe alipokuwa mdogo...........njaa tupu!
FB_IMG_1733147273658.jpg
 
Hiki kitu kinakera sana. Au anakuambia anakuja na wenzie. Mimi hiyo sms huwa siijibu kabisa. Napiga bunda asipojiongeza basi. Hizi K zisituendeshe
Mwanaume yeyote anayeendeshwa na K uzee wake huwa unamjia vibaya sana.

K zinakula wallet si mchezo. Harafu wakati unagawa na kuwafumua hua huoni kama you are loosing. Umri ukishasonga ndio unagundua ulifanya ujinga.
 
Akili finyu wewe mbona ndo wa kwanza kumuomba mtoko? Yeye akiomba maskini wewe ukiomba una akili we ndo maskini, mwanamke kama mwanaume hawezi kukuhudimia mkimbie,, hayo mambo kama huyawezi waachie wenyewe katafte pesa, umtie shombo sabuni manukato anunue mwenyewe, tafuta watoto wenzako mkacheze
Ww una offer nn?
 
Back
Top Bottom