Maskini hana aibu, kimbia ukiona hivi

Unamtafuta kwa shida zako, naye anakupokea kwa shida zake.

1 - 1 Full time

Shida unaenda kuzisakanyua wewe mwenyewe; kwa hiyo pambana na hali yako.
Jibu sahihi kabisa. Sisi wanaume huwa tunajiona kila tunachofanya kwenye mahusiano tuko sahihi na wanawake wako makosa. Halafu mwanaume wa aina hiyo utasikia anasema..... ''nasafisha rungu tu sina mpango wa kumuoa''.
 
Yes ukigundua anataka akutumie mpe ahadi za uongo usitimize hata moja gonga na songa mbele muachie kumbukumbu kua yeye akitumia kwako na sio wewe ulitumika kwake zaidi ya hapo utajuta
 
Angekuja mchafu mchafu pia ungelalamika. Kama vipi achana na broke girls tafuta ambao wameshajipata tayari halafu uje hapa kuleta mrejesho
Kwani hadi anakua hawezi kujimudu? Anasehemu ambayo anapenda na ukimpa pesa anampelekea mwana anayempenda langa alisema wewe unauziwa Mimi napewa bure tena kwa kubembelezwa
 
Yes ukigundua anataka akutumie mpe ahadi za uongo usitimize hata moja gonga na songa mbele muachie kumbukumbu kua yeye akitumia kwako na sio wewe ulitumika kwake zaidi ya hapo utajuta
Na ndiyo hasa hiki ninachosema. Tumeshatengenza visual circle ya hili jambo na kutoka hapo ni ngumu. Mwanamme anadhani anatumika, na bibi naye anadhani anatumika. Sasa malalamiko wanayotoa wanaume kila siku ni ya nini?
 
Njaa mbaya Kumbuka Damaso!
 
Na ndiyo hasa hiki ninachosema. Tumeshatengenza visual circle ya hili jambo na kutoka hapo ni ngumu. Mwanamme anadhani anatumika, na bibi naye anadhani anatumika. Sasa malalamiko wanayotoa wanaume kila siku ni ya nini?
Huyo mwanamke alikua hatoki ? Why mapema aingize tamaa hata aibu haoni ni sawa na Una mtu hachangii lolote kwako yeye yupo Tu , hata zawadi hakupi lakini wewe kila Leo unampa zawadi achana nae Hana future huyo
 
Wewe na huyo dada wote ni maskini. Trust ne bro
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…