Vien
JF-Expert Member
- Mar 6, 2020
- 6,585
- 10,363
Hoja yako ya kusema mnatumia kigezo cha kumuomba mwanaume hela kuonyesha hamjavutiwa naye imekaa kitapeli coz mkipewa hizo hela mnatoa mzigo vizuri tuukwahiyo ulitaka mzigo upewe bila kutoa??
Kwahiyo hata kama una mwanaume wako ambaye humpigi vizinga, hana cha kujivunia kutoka kwako kama huko nje unawauzia wengine
malaya ni malaya tuu