Maskini wenye hasira kali Zambia wamuua kwa kumchoma moto Mtanzania

Mdogo wa marehemu kahukumiwa miaka 650 sio 50. Wananchi hawakukuta jeneza. Walikuta ottoman couch wakadhani jeneza. Kimsingi maskini wenye hasira hawakuwa na uhakika wa 100%
Aisee Kwa hiyo wasema ndio majeneza hayo?wamezingua sana
 
Yaani sana. Wazambia wana tabia fulani kama za wasauzi. Jamaa wanakunywa pombe sana kwahiyo akitokea mpambanaji ndo huanza maneno mengi
Ni wavivu mno,unakumbuka alivyoongiaga Edgar Lungu madarakani Hadi alitangaza siku kadhaa kuliombea taifa na baa zote zifungwe..yaani hapo ni maroho ya uvivu na umakini ndio yamesababisha dhahma
 
Ni wavivu mno,unakumbuka alivyoongiaga Edgar Lungu madarakani Hadi alitangaza siku kadhaa kuliombea taifa na baa zote zifungwe..yaani hapo ni maroho ya uvivu na umakini ndio yamesababisha dhahma
Hadi leo hii sikukuu ikiangukia weekend wanalipizia siku moja ya wiki. Kwa mfano siku ya uhuru ikiangukia jumapili basi jumatatu mapumziko. Na wana siku yao ya maombi kitaifa.
 
Hadi leo hii sikukuu ikiangukia weekend wanalipizia siku moja ya wiki. Kwa mfano siku ya uhuru ikiangukia jumapili basi jumatatu mapumziko. Na wana siku yao ya maombi kitaifa.
🤣🤣🤣Si wenzao tulitokaga huko,nadhani enzi za mwinyi sijui walikuwaga wanalipiwa sikumbuki vizuri nilikuwa bado katoto toto....
 
Sasa huyu tajiri kafa kilofa sana.

Tajiri gani humiliki hata silaha ya maana kujilinda?

Ilitakiwa kabla ya kuuwawa nayeye anawafumua vichwa angalau masikini 10.

Sio dhambi ubao wa kifo ungesoma 1-10
 
Issue sio dini bali ni race .Race moja inapotekea imefanyiwa ukatikali na race nyingine automatically lazima kuwe na reaction kwa race iliyofabyiwa unyama au katili lakini kama unafikiria in religious line au political line unaweza kuconclude kwa vile unavyo waza wewe.
 
Angalau wewe umetoa ufafanuzi
 
wazambia ni wapole? ni wakimya tu. Na wanawachukia sana watanzania. Huwa ninawashangaa watz wanaojifanya kuhamia zambia kufanya biashara. Labda kama unahamishia biashara zako nankonde (tunduma ya zambia) lakini kama ni zambia ndani ndani, jua siku ukitajirika lazima watakutafutia sababu wakuue tu.
 
Kwa hizi nchi zinazotuzunguka bado chuki ni nyingi. Inatakiwa ukipiga hela urudi zako TZ sio kukaa mazima. Zambia, Msumbiji, DRC, South Africa, hata Malawi.. kote tabia moja.
 
Kwa hizi nchi zinazotuzunguka bado chuki ni nyingi. Inatakiwa ukipiga hela urudi zako TZ sio kukaa mazima. Zambia, Msumbiji, DRC, South Africa, hata Malawi.. kote tabia moja.
umesahau kenya pia. hata wanafunzi, ikionekana mtz ana akili darasani kuliko wao linakuwa tatizo. Hovyo sana.
 
du!!!!!..........................inatisha sana aisee!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…