Joannah
JF-Expert Member
- May 8, 2020
- 20,921
- 49,014
Mbona makasiriko,na wewe ni miongoni mwao??acheni hizo bhana mnatupotezea Nguvu kazi Africa itajengwa na mwafrica sio mwarabuHivi uko timamu kweli wewe?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona makasiriko,na wewe ni miongoni mwao??acheni hizo bhana mnatupotezea Nguvu kazi Africa itajengwa na mwafrica sio mwarabuHivi uko timamu kweli wewe?
Aisee Kwa hiyo wasema ndio majeneza hayo?wamezingua sanaMdogo wa marehemu kahukumiwa miaka 650 sio 50. Wananchi hawakukuta jeneza. Walikuta ottoman couch wakadhani jeneza. Kimsingi maskini wenye hasira hawakuwa na uhakika wa 100%
Acha kujilengesha wewe,punguza kujipendekeza kwangu.Mbona makasiriko,na wewe ni miongoni mwao??acheni hizo bhana mnatupotezea Nguvu kazi Africa itajengwa na mwafrica sio mwarabu
Sawa Mwarabu wa mwanalumango.Acha kujilengesha wewe,punguza kujipendekeza kwangu.
Yaani sana. Wazambia wana tabia fulani kama za wasauzi. Jamaa wanakunywa pombe sana kwahiyo akitokea mpambanaji ndo huanza maneno mengiAisee Kwa hiyo wasema ndio majeneza hayo?wamezingua sana
Ni wavivu mno,unakumbuka alivyoongiaga Edgar Lungu madarakani Hadi alitangaza siku kadhaa kuliombea taifa na baa zote zifungwe..yaani hapo ni maroho ya uvivu na umakini ndio yamesababisha dhahmaYaani sana. Wazambia wana tabia fulani kama za wasauzi. Jamaa wanakunywa pombe sana kwahiyo akitokea mpambanaji ndo huanza maneno mengi
Hadi leo hii sikukuu ikiangukia weekend wanalipizia siku moja ya wiki. Kwa mfano siku ya uhuru ikiangukia jumapili basi jumatatu mapumziko. Na wana siku yao ya maombi kitaifa.Ni wavivu mno,unakumbuka alivyoongiaga Edgar Lungu madarakani Hadi alitangaza siku kadhaa kuliombea taifa na baa zote zifungwe..yaani hapo ni maroho ya uvivu na umakini ndio yamesababisha dhahma
🤣🤣🤣Si wenzao tulitokaga huko,nadhani enzi za mwinyi sijui walikuwaga wanalipiwa sikumbuki vizuri nilikuwa bado katoto toto....Hadi leo hii sikukuu ikiangukia weekend wanalipizia siku moja ya wiki. Kwa mfano siku ya uhuru ikiangukia jumapili basi jumatatu mapumziko. Na wana siku yao ya maombi kitaifa.
Kabisa mkuuImani za kishirikiana na umaskini ni ndugu!
Issue sio dini bali ni race .Race moja inapotekea imefanyiwa ukatikali na race nyingine automatically lazima kuwe na reaction kwa race iliyofabyiwa unyama au katili lakini kama unafikiria in religious line au political line unaweza kuconclude kwa vile unavyo waza wewe.Kweli kabisa,Kungehusishwa uislamu.Hiyo Zambia ni nchi ya wakristo 99.95,lakini tukio hili,halihusishwi na dini ya kikiristo.Ndio ujue waislamu,wana hekima,walioko jf na katika media mbalimbali.Na walioko duniani kote,kukitokea uhalifu,hawahusishi dini ya mtu.Hata hao waliouliwa,wangekuwa waislamu,wangehusishwa na ushetani na majini.
Angalau wewe umetoa ufafanuziMatajiri wengi wa Zambia hasa wenye Asili ya Nakonde, ama kutoka miji ya jirani na Nakonde, ama wanaokuja kununua Mzigo Tanzania, Wametajirika zaidi baada kuwa na urafiki na Watanzania!
Watanzania wanawapeleka kwa Waganga hapa Tanzania ili wawe Matajiri....!
Hata kama huamini Uchawi hiyo haindoi Ukweli wa uwepo wake!
Watu hapa wanawaona Wazambia wasio na akili kwa walichokifanya ila wamevumilia sana wakitafuta Mchawi ni nani, mpaka kuja kufanya walichofanya walikua na Ushahidi wa Mazingira!
Zaidi ya watu 100 wameuwawa vifo vikifuatana vikifanana, kunyofolewa viungo vya Binadamu.....! Miezi michache kupita Kaka wa huyo Mzambia Marehemu, anahukumiwa miaka 50 jela kwa kukiri kwake kuhusika na kifo cha Mtu mmoja ambaye nae alinyofolewa viungo vya mwili, majuzi kuna Marehemu amekutwa hana Viungo, wananchi kwa kupepeleza wakapenyezewa habari juu ya uhusika wa huyo Rasta ambaye ni Rafiki wa Tajiri wa Kizambia, ikasemwa kila akionekana eneo flani baada ya siku chake, mwili wa mtu aliyeuwawa unapatikana na yeye kutoonekana tena, wamemfata Raia wenye hasira, kumweka mtu kati anasema yeye anatumwa tu, anatumwa na nani...!?
Akamtaja huyo Tajiri YAKAIPA kwamba ndo huwa anampa kazi, Hasira za Wanachi zikawaka, safari kwenda kwa Tajiri ikaanza, Tajiri kuona Raia wana hasira akataka kuruka Ukuta ikashindikana, akatoa Bastola atishe Raia haikusaidia, yakaanza Maswali, wakambeba yeye na Marasta mpaka ndani ya Nyumbani, kufika ndani wakaanza kufanya Ukaguzi, kuna Chumba kimoja wakakuta Jeneza kufungua Jeneza kuna Vitu vya ajabu.....!
Kilichotokea ndo kilichosikika.
wazambia ni wapole? ni wakimya tu. Na wanawachukia sana watanzania. Huwa ninawashangaa watz wanaojifanya kuhamia zambia kufanya biashara. Labda kama unahamishia biashara zako nankonde (tunduma ya zambia) lakini kama ni zambia ndani ndani, jua siku ukitajirika lazima watakutafutia sababu wakuue tu.POLISI ZAMBIA wamethibitisha kifo cha Mfanyabiashara maarufu wa Nkeyema, Zambia, Sikaonga Ernest almaarufu Yakaipa na rafiki yake David Mwakyoma Mtanzania aliyechomwa moto na kundi la maskini wenye hasira kali.
Wawili hao wameuawa katika Wilaya ya Mumbwa na kundi la maskini wenye hasira kali wakati wa ghasia baada ya taarifa kuenea kuwa mtu mwingine aliyejulikana kama Mwiya Kashweka ameuawa na kuondolewa sehemu za siri ambapo kina Mwakyoma walidhaniwa ndo walifanya unyama huo.
Majengo mbalimbali ya umma yameharibiwa na wananchi waliofanya ghasia miongoni mwao ofisi ya Mifugo kuteketezwa na kuwa majivu, madirisha ya ofisi za Polisi, Uhamiaji na Usajili wa Taifa yote yamevunjwa.
Magari na lodge ya marehemu Yakaipa yaliharibiwa kwa kuchomwa moto. Hii ilikua tarehe 13/09/2023.
Binafsi nimesikitishwa sana na hizi taarifa na kulaani maskini wote wanaodhani matajiri wote wamepata utajiri wao kwa kutumia nguvu za giza. Wazambi ni wapole ila wana wivu mkubwa kwa kudhani wanaopambana na kufanikiwa hudhulumu haki zao. Ndugu Mwakyoma na mwenzie wameuwawa kwa kudhaniwa kuwa wanahusika na ushirikina uliosababisha kifo cha Mwiya. Na kwa siku za karibuni kumekuwa na kamata kamata ya watanzania waliopo huko.
Ila pia kwa upande mwingine kuna watanzania wenzetu wanaotuchafua sana kwa majirani kwa kuendekeza ushirikina. Mwaka jana kuna watanzania waliokamatwa Zambia kwa kwenda kufanya kazi ya kutoa uchawi kule Zambia kama wanavyofanya Kigoma na Sumbawanga. Ukiwa mtanzania kwa nchi za jirani unachukuliwa kama mbobevu kwenye ushirikina.
View attachment 2761245View attachment 2761246View attachment 2761248View attachment 2761249View attachment 2761250View attachment 2761252View attachment 2761253
Kwa hizi nchi zinazotuzunguka bado chuki ni nyingi. Inatakiwa ukipiga hela urudi zako TZ sio kukaa mazima. Zambia, Msumbiji, DRC, South Africa, hata Malawi.. kote tabia moja.wazambia ni wapole? ni wakimya tu. Na wanawachukia sana watanzania. Huwa ninawashangaa watz wanaojifanya kuhamia zambia kufanya biashara. Labda kama unahamishia biashara zako nankonde (tunduma ya zambia) lakini kama ni zambia ndani ndani, jua siku ukitajirika lazima watakutafutia sababu wakuue tu.
umesahau kenya pia. hata wanafunzi, ikionekana mtz ana akili darasani kuliko wao linakuwa tatizo. Hovyo sana.Kwa hizi nchi zinazotuzunguka bado chuki ni nyingi. Inatakiwa ukipiga hela urudi zako TZ sio kukaa mazima. Zambia, Msumbiji, DRC, South Africa, hata Malawi.. kote tabia moja.
du!!!!!..........................inatisha sana aisee!!!POLISI ZAMBIA wamethibitisha kifo cha Mfanyabiashara maarufu wa Nkeyema, Zambia, Sikaonga Ernest almaarufu Yakaipa na rafiki yake David Mwakyoma Mtanzania aliyechomwa moto na kundi la maskini wenye hasira kali.