Maslahi binafsi yanayohujumu harakati na maisha ya vijana

Viongozi wapo wengi Ila ni swala la kupata jukwaa .

Mfano 'JOHN HECHE '
Vyema kabisa, sasa hao ndyo wanapigwa vita na madhalimu, na endapo wakishindwa wananchi na wafuasi wao watabaki njia panda.
 
Madhalimu ni akina nani?

Wanasema hivi
...👇🏾
"Don't hate leaders and love your country because bad leaders pass but country remains"
 
Madhalimu ni wale wote wasiopenda Haki na wanajali matumbo yao wala sio maslahi ya Taifa.

Na mimi nasema hivi 👇

I detest dishonest leaders, I cherish my life and my nation, and I strive to fulfill my own aspirations.
 
Huwenda nimechelewa kufahamu hili kwasababu ya umri wangu na uzoefu wangu, nimegundua Tanzania hakuna upinzani wa kweli.

Vijana wanapoteza maisha yao, wanaumizwa hata kupotezwa, yote ni kwasababu ya kupigania haki sambamba na kuwa upande wa upinzani, ajabu viongozi wao wanafanya mambo kwa maslahi yao binafsi.

Nimeshtuka japo nimechelewa, labda siku atokee kiongozi mwengine mfano wa TAL, lakini kwa sasa nawasihi vijana wenzangu kupambania ndoto zao, wasidanganyike na mienendo ya kisiasa hasa hasa upinzani.

Upinzani ambao umedhihirika kwamba hauna lengo la kweli bali kutetea matumbo yao na familia zao.
Ndiyo maana wote walio mpinga JPM ni wapumbavu ....tulimuunga mkono jpm kwa sababu alikuwa rais mwenye kudhamini taifa na kuwatumikia wananchi ....mbowe yupo kujitumikia yeye na familia yake Samia yupo kujitumikia yeye na msukule wake abdul ...na kikwete ni hivyo hivyo matokeo yake ndiyo haya ya JAMBAZI ROSTAM AZIZI NA GENGE LAKE KUFANIKIWA KULIGEUZA TAIFA LETU KOLONI LAO NA SISI KUWA WATUMWA WAO
 
Mkuu leo ndyo tumethibitisha yote, Mbowe na genge lake wanafahamika na leo waliungana wote kuthibitisha kwamba wao ni matapeli wa kisiasa.
 
Huwenda nimechelewa kufahamu hili kwasababu ya umri wangu na uzoefu wangu, nimegundua Tanzania hakuna upinzani wa kweli.

Vijana wanapoteza maisha yao, wanaumizwa hata kupotezwa, yote ni kwasababu ya kupigania haki sambamba na kuwa upande wa upinzani, ajabu viongozi wao wanafanya mambo kwa maslahi yao binafsi.

Nimeshtuka japo nimechelewa, labda siku atokee kiongozi mwengine mfano wa TAL, lakini kwa sasa nawasihi vijana wenzangu kupambania ndoto zao, wasidanganyike na mienendo ya kisiasa hasa hasa upinzani.

Upinzani ambao umedhihirika kwamba hauna lengo la kweli bali kutetea matumbo yao na familia zao.
Sahihi kabisa
 
Back
Top Bottom