Maslahi madogo Clouds yamtoa Ruby Fiesta

Umeongea fact mkuu[emoji122] [emoji122] [emoji122]
 

- Tatizo ni kwamba ilikuwa ni bora kwake kwenda Fiesta na Clouds hata bure kuliko kukataa hela ndogo kama anavyodai cause sio Big Star hajafikia uwezo wa kuwa na Show yake mwenyewe usiku mzima ana wimbo mmoja tu na amefikishwa hapo alipo na hao hao anaowakataa, sometimes hawa watoto wanakosa sana ushauri wa maana kwa status yake ilikuwa bora hata angeenda na Fiesta bure ili ajitangaze kuliko kuwatukana au ingemsaidia kujifanya mgonjwa asiende kuliko kuwatukana kama alivyofanya cause very soon atagundua kwamba hakuna wa kumsaidia zaidi ya hao hao aliowatukana,

- Sikushangaa sana kusikia haya ni msichana anayejiona yupo juu sana hata ukikutana naye one on one ana tabia za kujiona baab kubwa sana wakati sio kabisa, namuonea huruma sana cause huenda ndio amefikia mwisho wa career yake kwenye music hapa!!

le Mutuz
 
Acha kujitoa ufahamu wewe! Mwenyewe ameandika nini hapo nilipo-underline kwa rangi ya blue? Yaani unataka kubishana hata na mwenyewe? We jamaa ni mtu wa ajabu sana!!!


Halafu we jamaa vp?! Naona unazidi kuleta irrelevant infos tu!! Mada ya Clouds na Ruby ukaleta habari za EFM! From nowhere unaleta habari za akina Manfongo!! Hiyo league yako ya EFM na Clouds tafuta mshindani cuz' you got a wrong guy!!
 
sijaona ukipiga nae picha huyu dada
 
huyu mpuuzi anajifananisha yeye na jide hivi anajua jide katokea wapi hadi amefikia hapo alipo??hivi anafikiri hizo pesa kidogo anazozikataa yeye anahisi jide hakuwahi kuzipokea au anahisi jide alitokea tu from no where akaanza kulipwa pesa ndefu??mtu mwenyewe nyimbo anatungiwa,unataka ujifanye bonge la star upuuzi
 
These dudes Clouds japo watu tunawachukia. Lakini, kwa hili la Ruby naamini ni msanii mwenyewe kajiona amekua level sawa na wasanii wakubwa aliowakuta ktk industry. Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni. Kwa mara ya kwanza naitetea redio ya Mh. Joseph Kusaga.
 
Hawajui tena hao watoto wa kiume bogas kabisa clouds sio ya lazima sana tusidanganyane kwanza siku iz tuna mitandao unaweza toka au kama vipi piga mishe zingine tuu unapoteza mda unaishia kupanga nyumba mpaka una miaka 50 upuuzi mtupu
Usijidanganye...
Fikiria hii
1. Diamond nyimbi zake hazikupogwa na IPP MEDIA kwa miaka mitatu, lakini alizidi kupaa...KISA CLOUDS WALIKUWA NAYE
2. JD nyimbo zake hazipigwi clouds, unona anavyopotea..??
3. Prof Jay, alikwaruzana na clouds, alianza kupotea
4. Jaribu kuwakumbuka wengine waliowahi kugombana na clouds nini kiliwakuta

Kwa kifupi, kugombana na clouds media inabidi ujipange... HUYO DOGO NDO ANAPOTEA HIVYO...
 
HUYO dogo vita aliyoianzisha haiwezi... awaulize wenzie waliowahi kugombana na clouds
 
safi ruby

u have to stand kwa kile unakiamini

so sawa kukubali kupelekeshwa tu...haijalishi na nani...

nakufahamu ulivyowatosa Glorious celebration ya kina mabisa...walikutenga but still u made it

Ruby , you are a brave woman...
 
we muache ajishebedua na kama kuna watu walimvuta mapembe itakula kwake!!
kwa nn alisaini mkataba?hawa wasanii uchwara hawaaa!!
Kama alisaini mkataba inamaana huo mkataba haukuonyesha kiasi cha malipo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…