Ndo basi tena alafu huko insta anajishebedua et anaimba wimbo wa jide anamuita king jide kwa mbwembwe , sisi yetu machoMamaaaaaa [emoji37][emoji37][emoji37][emoji37] imeshakula kwake huyo Rubby dah
Kwel bhn mwisho wa siku unaagalia unachoenda kufanya na malipo...co ufanye et kisa clouds mara oooh ndo waliokutoahata kama hana ndo ulipwe laki moja? si bora akawe muhudumu mango garden?
Na jide kinachomsaidia ni back up kubwa ya east africa radio ndo bado yupo ruby bado sana ni rahisi sana kusahaulikaNdo basi tena alafu huko insta anajishebedua et anaimba wimbo wa jide anamuita king jide kwa mbwembwe , sisi yetu macho
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] co hela wataakua wanabana tyuuuhe e he Clouds hawana hela
Umeongea ukweli mkuu, wote hao sio wajinga wanajua kula na kipofu na tayari washatengeneza Uzi wa mashabiki ili siku wakisimama wenyewe wasitetereke sasa huyu ruby baada ya kutoa vinyimbo viwili kashajiona untouchable hahaaaa[emoji23] [emoji23] yetu machoKwa hiyo Ruby ndo anajua maslahi kuliko Joh Makini au Fid Q?
Au yeye pekee ndiye angelipwa kidogo kuliko wengine?
Hilo buzi linalompa jeuri likimtema ataenda kuomba msamaha tu.
Kibongo kufanya kazi na Clouds ni maslahi tosha hata kama ni bure,Kuna vijana wanavipaji unique lakini wanaishia kuwaimbia wenza wao maghettoni kisa hakuna promo.
Jide mwenyewe akipata nafasi ya pili kukutana na Clouds kwa mara ya kwanza hawezi kushupaza shingo.
Huu mgogoro umemuathiri sema ndiyo hivyo tena.
Bahati hao wote uliowataja mafanikio yao yanaonekana, kwahiyo na huyo Ruby unamlinganisha na kundi hiloVipi mbona umepanic sana... Siasa za fiesta zisikie mtaani tu wewe kama unawapenda clouds ni shabiki yao nenda kawasapoti upate burudani.. Ila siasa zao ni ngumu aliyezifaulu ni AY, Jide na Diamond Platinumz wengine wamezishindwa ata Ruby atashindwa maana ata mbishi Sugu aliuza timu dakika za majeruhi.. Usipoteze nguvu zako bure hapa.
Mkuu umemaliza wasipokuelewa wakapimwe akili[emoji122] [emoji122] [emoji122]Katika watu walioamua kumharibia Ruby ni hawa walio mshauri kukataa hiyo show halafu haitoshi kwenda kwenye social media kujidai ana tunisha misuli.
Ruby alitakiwa kupiga hiyo show halafu ange malizana nao na bila shaka kuna sababu walizo ziona Ruby alitakiwa alipwe hiyo Laki tano.
Mbona kuna wasanii hawajapata show kabisa? Halafu Ruby alitakiwa kupiga hiyo show kama shukrani kwao tuu kwa kumsaidia kumtoa maana nasikia mwaka jana ilibdi azunguke fiesta zote bure maana ndio zawadi aliyo ahidiwa ikiwa kama kumtangaza..
Ruby hajafikia level ya kuonekana ana nyanyaswa au kunyonywa kabisa Ruby ni msanii mchanga na biashara za wasanii wachanga ndivyo zilivyo..
Kama kuna mtu anataka kufananisha misuli ya Jaydee na Ruby basi kichwani hayuko sawa.. Kama kuna mtu anataka kufananisha stuation hii ya Ruby na ya Jaydee basi anapaswa kupimwa akili.
Kwanza Ruby hajatumiwa kwa vyovyote vile na Clouds kutengeneza faida yeyote ile kwa hiyo kwa vyovyote vile Ruby hatakuwa na hoja.. Maana bila shaka Clouds wana hoja za kutaka kumlipa laki tano.
Halafu kama alikuwa hakubali hiyo offer ange kataa halafu akapiga kimya au ange angalia faida ya kukubali hiyo offer ukiacha pesa... Si kila kitu lazima kikulipe papo hapo hata Jide hizo za bure alizipiga sana? Ruby ana muda gani kwenye muziki?
Tanzania tuna media house zenye nguvu tatu tuu kwa sasa.. CLOUDS , IPP NA EFM .
Msanii akigombana na moja kati ya hizo nguvu yake hupungua.. Kinyume awe na jeuri, nguvu, kiburi, katili kama Lady Jaydee..
Unajua wengi wakiona Lady Jaydee kaweza wanadhani ni rahisi.. Hahahaha.. Huyu Jaydee huwa namuangalia mara mbili si mmalizi hakika sijawai ona mwanamke wa namna hiyo sidhani kama Ruby ataweza.
Halafu ukiaacha swala la Clouds ni wazi Ruby ana shida kidogo nadhani kuna maswala yake hayako sawa.. Sidhani kama saikolojia yake kama iko sawa.... Maana hivi karibuni amekuwa akilalamikiwa sana na watu kuwa amekuwa hatokei kwenye shooting na mambo mengine..
Clounds ni media kubwa kushusha ni kitu rahisNako 2 Nako nawamis sana, hasa pale kwenye mstari wao, alie kupandisha ndio atakae kushusha.. Aha haa Nako 2 Nako.. Wapi baba Ray c! Maisha marefu kwenu maninja wangu.
SuAende Mkubwa na Wanae akacheze na kina Aslay
Wanawake sisi ndo huwa tunaharibiana wenyewe , ngoja muone huyo ruby Kama hajaenda kupiga magoti kwa lugeKwel bhn mwisho wa siku unaagalia unachoenda kufanya na malipo...co ufanye et kisa clouds mara oooh ndo waliokutoa
Yaani huyo ndo ashasahaulikaNa jide kinachomsaidia ni back up kubwa ya east africa radio ndo bado yupo ruby bado sana ni rahisi sana kusahaulika
Ruby ni mtoto wa kike anayejitambua ww ni mmoja wa wanawake walio kula kiapo ktk dini ya "Mwanamke akiwezeshwa anaweza"Wanawake sisi ndo huwa tunaharibiana wenyewe , ngoja muone huyo ruby Kama hajaenda kupiga magoti kwa luge