Maslahi madogo Clouds yamtoa Ruby Fiesta

Tuseme kweli Clouds inawanyonya wasanii,sasa mbona wasiofanya kazi na Clouds ndiyo choka mbaya?
 
Huu ndo ukweli wenyewe! Si tu kwamba hawapo kwenye tasnia ya muziki wa Kibongo bali hata tasnia yenyewe hawaijui!! Na changamoto za wasanii wachanga sio Tanzania tu bali hata mbele nako ndo hivyo hivyo! Hata hao akina 50 Cents na usela wao wote ule, hadi wanafikia kusimama wenyewe na kuwatunishia watu misuli; washadhulumiwa sana before that!

Binafsi, hii habari napata taabu kuiamini manake Ruby siku hizi ameanzisha kamtindo ka akina Shilole ka kutengeneza habari kila anapokaribia kufanya tukio. Isitoshe, bado yupo THT...

Lakini kama kweli ameitolea nje show ya Fiesta saa za mwisho na kwenda kwenye media basi atakuwa hajitambui! Na hao wanaom-support nao hawajitambui na hata miiko ya kibiashara hawaijui! Ina maana wakati anasaini mkataba hakujua kwamba maslahi ni madogo?! Wakati anarusha mapicha Instagram akionesha kuwa excited alikuwa hajafahamu kwamba maslahi madogo?! Na kama alikuwa hajafahamu, ilikuaje akasaini! Maswali ni mengi but even more interesting; kwa ninavyofahamu Ruby bado yupo THT! Sasa pale sijui hadhulumiwi!
 
Nikumbushe kabila la lady JD
 
Duuuuu kumekucha

Sasa watoto wa kike wanafunguka, ya kiume yapo yapo tu

Nidhahiri kuwa
Msanii mkubwa hulipwa lak 7 had million moja tu

Huku wasanii wa daraja la kati wakichukua laki tatu hadi sita

Wasanii wa kitanzania hawapo huru kabisa
Pale ktk LAKI 7 Hadi 1m, kwa wasanii wakubwa, ushahidi ninao!
 
Show zao hawakulipi. Na bado kukuttomber wanaku
 
Kama taarifa hizi ni za kweli, bado upambanaji wa Jide huwezi kuulinganisha na huu! Jide alianzisha mapambano wakati amejiandaa! Alikuwa na takribani album 5 sokoni, base kubwa ya mashabiki, alishajijenga kimuziki na kimaisha. Alishakuwa na uwezo hata kutengeneza ushawishi kwenye radio mbalimbali nchini mbali na Clouds! Kinyume chake, Ruby hata ubavu wa kutengeneza ushawishi pale Wapo FM hana! Na hata hii habari inapewa uzito kwa sababu tu ni Clouds na wala sio Ruby! Tunaomwelewa Ruby kisanaa ni wachache kuliko wasiomwelewa!
 
Kurukia comment ya mwenzio
Are you myopic?...tazama ulimquote nani kama si mimi in the first place
ni hatari kwa maisha yako don't take things personal cause I was not serious u took it personal
total crap,...Ulianza kuniquote kwa kitu ambacho sidhani hata kama ulikisoma between the lines...Ebu rudia where it all began...
 
Are you myopic?...tazama ulimquote nani kama si mimi in the first place

total crap,...Ulianza kuniquote kwa kitu ambacho sidhani hata kama ulikisoma between the lines...Ebu rudia where it all began...
Haha Relax acha panic
 
Haha Relax acha panic
So you decide to chicken out,having gone under intense pressure?!?!..You know that's cowardice...I queried in the previous comment and expected you to make some cutting rejoinder...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…