Myahudi Jr II
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 6,816
- 8,809
Si ulisema unastaafu umbea??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huu ndo ukweli wenyewe! Si tu kwamba hawapo kwenye tasnia ya muziki wa Kibongo bali hata tasnia yenyewe hawaijui!! Na changamoto za wasanii wachanga sio Tanzania tu bali hata mbele nako ndo hivyo hivyo! Hata hao akina 50 Cents na usela wao wote ule, hadi wanafikia kusimama wenyewe na kuwatunishia watu misuli; washadhulumiwa sana before that!Hii habari kama ni kweli,basi kuna mambo 2 nayaona.Iwapo Ruby anajua nini alichokifanya na kashajiandaa nacho kimkakati pamoja na kisaikolojia basi atafanikiwa dhamira yake,lakini kama anafanya kwa kujifananisha na sijui Jide hapo kafeli tena kafeli ile ya kuchorwa na masikio kabisa.Ruby bado hajawa na ubavu wa kutunishiana na Clouds si kwa maana ni poa wanavyofanya Clouds ila wewe kama msanii mchanga lichukulie jukwaa la Fiesta kwaajili ya kujitangaza.Hawa wote wanaomsifia Ruby hawapo kwenye tasnia muziki wa kibongo wakaona changamoto zake,kwa sasa wasanii ni wengi na wote wanataka kutoka na ili watoke ni lazima kwanza wakubali kuliwa,kuibiwa, kutumika visivyo ili wewe ufikie lengo lako.Ruby kama uli beep tafadhari nenda kawaombe msamaha kabla ya mambo kuwa mabaya muda wa wewe kufanya hivi bado kabisa,labda kama umeamua kuacha muziki sawa ila kama muziki ndio unataka yawe maisha yako basi fanya hima ukaombe msamaha.
Hatari. Mango Garden hii hii ya Kino! Hatari!hata kama hana ndo ulipwe laki moja? si bora akawe muhudumu mango garden?
Ukipata jibu la hili swali naomba uni-tag lakini liwe jibu lenye mantiki ambalo nina mashaka ikiwa utalipata!Tuseme kweli Clouds inawanyonya wasanii,sasa mbona wasiofanya kazi na Clouds ndiyo choka mbaya?
Nikumbushe kabila la lady JDNina wasiwasi kama si kick sijui.. Halafu teentz si mtandao wa B 12?
Na katika hili kama ni kweli Ruby alitakiwa kwanza kufanya hiyo show maana kama alisign mkataba basi amekiuka na anaweza kuburuzwa mahakamani.
Pia huyu binti hana ubavu wa kupambana na media bado mchanga sana... Nyimbo alizo nazo ni mbili tuu sasa ataweza kweli kupambana na media?
Mmh Huu mziki wa kupambana anauweza mwanaume Lady Jaydee..huyu ni komando ana kiburi na ni katili sana sio kazi ndogo kuwa na misuli ya Lady Jaydee..
Bila shaka hii ni kick tuu..
Pale ktk LAKI 7 Hadi 1m, kwa wasanii wakubwa, ushahidi ninao!Duuuuu kumekucha
Sasa watoto wa kike wanafunguka, ya kiume yapo yapo tu
Nidhahiri kuwa
Msanii mkubwa hulipwa lak 7 had million moja tu
Huku wasanii wa daraja la kati wakichukua laki tatu hadi sita
Wasanii wa kitanzania hawapo huru kabisa
Nimekumbuka POWER BANKAungane na bae wake Soudy Brown wakapige umbea sasa.
Kama taarifa hizi ni za kweli, bado upambanaji wa Jide huwezi kuulinganisha na huu! Jide alianzisha mapambano wakati amejiandaa! Alikuwa na takribani album 5 sokoni, base kubwa ya mashabiki, alishajijenga kimuziki na kimaisha. Alishakuwa na uwezo hata kutengeneza ushawishi kwenye radio mbalimbali nchini mbali na Clouds! Kinyume chake, Ruby hata ubavu wa kutengeneza ushawishi pale Wapo FM hana! Na hata hii habari inapewa uzito kwa sababu tu ni Clouds na wala sio Ruby! Tunaomwelewa Ruby kisanaa ni wachache kuliko wasiomwelewa!Nina wasiwasi kama si kick sijui.. Halafu teentz si mtandao wa B 12?
Na katika hili kama ni kweli Ruby alitakiwa kwanza kufanya hiyo show maana kama alisign mkataba basi amekiuka na anaweza kuburuzwa mahakamani.
Pia huyu binti hana ubavu wa kupambana na media bado mchanga sana... Nyimbo alizo nazo ni mbili tuu sasa ataweza kweli kupambana na media?
Mmh Huu mziki wa kupambana anauweza mwanaume Lady Jaydee..huyu ni komando ana kiburi na ni katili sana sio kazi ndogo kuwa na misuli ya Lady Jaydee..
Bila shaka hii ni kick tuu..
yy?? 2xubr??? xul???nawashangaa watu mnamsuport ruby wakt hamjui mkataba wake yy na clouds ngja 2xubr ndo mtajua wasanii wengi bongo hawajaenda shule walienda xul,mikataba bdo inawasumbua
Kukariri mitazamo ni hatari kwa mustakabali wa maisha yako...........We ulipita Ki halali pale Law School
Kurukia comment ya mwenzio ni hatari kwa maisha yako don't take things personal cause I was not serious u took it personalKukariri mitazamo ni hatari kwa mustakabali wa maisha yako...........
Are you myopic?...tazama ulimquote nani kama si mimi in the first placeKurukia comment ya mwenzio
total crap,...Ulianza kuniquote kwa kitu ambacho sidhani hata kama ulikisoma between the lines...Ebu rudia where it all began...ni hatari kwa maisha yako don't take things personal cause I was not serious u took it personal
Haha Relax acha panicAre you myopic?...tazama ulimquote nani kama si mimi in the first place
total crap,...Ulianza kuniquote kwa kitu ambacho sidhani hata kama ulikisoma between the lines...Ebu rudia where it all began...
So you decide to chicken out,having gone under intense pressure?!?!..You know that's cowardice...I queried in the previous comment and expected you to make some cutting rejoinder...Haha Relax acha panic
Wambea tuna taabu jamani!Ona sasa...Si ulisema unastaafu umbea??
Kurya....Nikumbushe kabila la lady JD