Maslahi ya Majaji Tanzania yapoje?

Maslahi ya Majaji Tanzania yapoje?

Kutoa hukumu ya bilionea wakati wewe mshahara wako ni laki mbili,huwa inahitaji moyo wa kipekee kutenda haki
Ila wazuri wanaopenda kusimamia haki wapo pia,ndiyo maana Mungu anashindwa kupiga gharika,maana anajua atauumiza na wazuri wachache waliopo!!
 
Kila november lazima liende ulaya kula good time, sijui anafanyaje fanyaje kupata hizo hela ila masta hela tutafute kwa nguvu sana watoto wake wote kawatafutia michongo anaetaka kuoa aoe na harus hazinaga michango ila mtakula na kunywa mpagawe , aloo ukienda jion maskani kwake, unakuta linapiga piga tizi za hapa na pale yan lile faza huwa ni li role model langu halinaga stress daaah…
Ni judge au
 
Nikisema kutubu sio kwamba naenda kutubu kama Mungu mkuu, nikikwama nakubali nimekwama huyu mzee anatukwamuaga kwenye mambo mengi ndio maana yake masta, Muwe mnapita hata mtaa mjue lugha za mtaa, kwan we upo mkoa gani masta ? Mbona haiwezekan kutubu ulikosema wewe ukatubu kwa binadamu yeyote …
Nimekupata Masta

Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom